Ivory coast wako bongo🇹🇿, Gambia wako bongo, Morocco wako bongo, Burundi wako bongo kwa ajili ya kutumia Infrastructure za Bongo kupiga mpira.
Hivi vitu vidogo vidogo ndivyo vinaongeza kuaminiwa inshu kubwa kubwa. Wakenya wanatabia ya kuvidharau.
Sasa Imagine AFCON Caf wapo more experienced na Tanzania atmosphere kuliko huko ukunyani, na wanategemea wao ndio wahost hell no, even SAUDI ARABIA anataka kuomba kuhost world cup ndio maana anajaribu kuprove kua anaweza kwa kuweka ligi nzuri ili kua more experienced.
Kunyani ikifika AFCON kutakua na Experience gani? Ya kuandaa mbio mbio mbio mbioooooooooooo!
Hao wakunya tabia ya kudharau vitu vidogo vinavyoota mizizi na kua sugu ndio imesababisha kua na LISLUM likubwaaa aka Kibera, Jua kali projects, White elephants projects, defense issues, Njaaa njaaaa njaaa, Stima, Maghorofa mabovu.
Experience na Majukumu vinaanza kidogo kidogo, ikiwa Mataifa 5 yapo nchini kwa kucheza WC Qualifier, na yote CAF ina taarifa nayo, unategemea CAF baadae wakupe na wanajua upo blacklisted viwanja vyako, unawapa tabu kila mechi kuwapeleka viwanja vingine.