Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,895
- 103,759
kama nlivyokupuuzeni ninyi na visalia vyenu vya uongoWewe ni attention unataka. Watu kama wewe ni wa kupuuzwa tu
Comoro timu yao ilifanya vizuri afcon iliyopita sababu ya kampeni kama hiiSafi sana, hii kampeni itazaa matunda soon, naona watanzania wengi waliozaliwa nje wanavutika na timu yao ya taifa, hii imeanza kutulipa, Tanzania ni nchi ya vipaji vya kila aina tena soka ndiyo kabisa tangu enzi na enzi ila now tuko serious kweli kweli.
Matokeo ya kununua mitumba
Two crashed in same region in same day
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1726621514680938614?t=8drT1Oh07n0jl5CTvIQlRg&s=19
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1726593568003756381?s=19
Matokeo ya kununua mitumba
Two crashed in same region in same day
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1726621514680938614?t=8drT1Oh07n0jl5CTvIQlRg&s=19
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1726593568003756381?s=19
Hili tatizo la kupenda uchuuzi hata sisi tunalo.muuza kuku hajuagi jinsi ya ku-create jobs! Anajua uchuuzi tu!
Hiyo ilikuwa 2013. 😂😂😂Mbona wameanza political campaign bado mapema sana ??😅😅😅😅😅