Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi state of art border patrol ambao wameshindwa Dhibiti uingizaji silaha kiholela, Wapi KDF ambao wameshindwa kutumia intelligence yao kuwasaidia GSU or police.

Wapi One of Kind nyenyenye. Hao wajinga wakiona nguo za kukodi na miwani ya kuchomela vyuma wanaona wamemaliza.

Hii Bandit sipati picha ingekua bongo, RPC wa eneo pressure ambayo angepewa asingelala, plus Waziri wa mambo ya ndani asingelala mpaka iishe.

Nakumbuka MWANZA ilikua na inshu ya ujambazi, ikatoka operation kali kwishaa.

Na ni Police tu walidili nayo.
Ah wapi wale ni watu wa script tuu picha nyingi hakuna jeshi pale.
 
Acha ujinga wewe. Subway and sub - ground level are not the same. Did you say you studied at what polytechnic?

Subway is not same as subground. Go back to school.

View attachment 2819733
Kichaa wewe ubishi wa kijinga usichanganye terminologies za road construction na kufanya ndio kiingereza.

844 is a curse to any education system.
 
The first two is fabricated from scratch, the last one is assembled.
Hahaha kumbe unakuaga na WIVU tu kwa Tanzania, nakuona uko so proud wakati hiyo last one ulikua unasema Fake Fake Fake kisa window, na ukasema zinatoka China, now ni assembled in Kenya, Duh.

No wonder mpaka mnajisifia ndege mfu.
 
Mngakuwa nazo zingekuwa zinadondoka pia Ila hamna.
Acha maneno wewe TPDF wananunua vitu vipya toka Airbus helicopters za kisasa sio hizo tetanus zenu.
Mv rafiki 2.. Mwanza to bukoba👇👇👇View attachment 2820158View attachment 2820159
Hawa nyangau hawana chombo kama hiyo kwao hii ni catamaran class. Water buses ni ferries za kuvusha watu sio safari boats.

Hizi water bus zao ni kama zile za Azam Marine miaka ya 80s na early 90s wao ndio wako huko karne hii ya 21 🤣🤣🤣
 
Here they are in denials while huko Twitter wanasifu mabasi za Kenya mbaya ajabu😂😂😂


View: https://twitter.com/TBoundBuses/status/1720384294982459449?s=19

Sura mbaya kama Simba
20231121_065543.jpg
20231118_211444.jpg
20231118_210224.jpg
20231115_104947.jpg
20231115_104931.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa anaumia akiwa Kibera na bakuli la githeri.😂😂😂
 
Simba katangaza sana huu uwanja kupitia CAF CL na AFL sasa nchi nyingi za Africa zinajua kuna uwanja bora sana hapa EA. Good for sports tourism.
Umeongea utumbo leo,unajua mechi ngapi za Club bingwa zimepigwa chamazi na team kutoka nje zikitumia kama uwanja wa nyumbani?Story za Simba achana nazo story ni national facility zinazosaidia wengine Africa.Mkapa imeshapita Everton,Sevilla,Brazil etc.
 
Mwizi anakimbizwa kimya kimya hakuna kelele.

Wanajifanya hawaoni,ngoja ni zoom waone vizuri 🤣🤣

Dola bil.5 Zinaenda kumwagwa ndani ya miaka 2 na mfaidika Mkuu ni Tanzania 🔥🔥

View: https://www.instagram.com/p/Cz37MdCoPsk/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Back
Top Bottom