NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,976
What class is this road?
sasa mlete modern nyegezi nyege nyege bus terminal na bridge.....mwanza beibeee.........Dadaab refugee camp should be afraid
View attachment 2819023
Nyie mnamidomo mirefu, tofauti na sisi, ni kama iko kwenye DNA.Kwani saahivi kunakalika? After ever two post ni hiyo mnaongeleo. 😂 😂
Kama hamngekuwa na midomo mirefu hii thread haingekuweko.Nyie mnamidomo mirefu, tofauti na sisi, ni kama iko kwenye DNA.
Juzi hapa Simba tumefungwa ki aibu 5-1 lakini hukuona wanayanga kama ichoboy01 na The best 007 wakitunanga hapa, hivi ndivyo tulivyo waTz. (a civil society).
Nimekwambia uniambie hapa ni mwanza sehemu gani na ukiweza kunambia nitag nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwanza beibeee.........Dadaab refugee camp should be afraid
View attachment 2819023
Hasira zimefika point of no return 😅😅😅😅😅arusha malangali beibee.....kama geneva aisee.....lol
View attachment 2819037
lol bro....over here you just have to pretend....umefyatu nini......i know of 3 facebook pages you guys roast each other a**es.so pliz bro...Nyie mnamidomo mirefu, tofauti na sisi, ni kama iko kwenye DNA.
Juzi hapa Simba tumefungwa ki aibu 5-1 lakini hukuona wanayanga kama ichoboy01 na The best 007 wakitunanga hapa, hivi ndivyo tulivyo waTz. (a civil society).
we enda uulize nyanyako...nktNimekwambia uniambie hapa ni mwanza sehemu gani na ukiweza kunambia nitag nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na ukithibitisha hapo ni mwanza sehem gani unitag nifunge acc 😅😅😅😅😅😅😅😅we enda uulize nyanyako...nkt
Hii thread wkt inaanza ilikuwa ya kistaarabu sn, ilikuwa kwamba lete kitu kilichopo Kenya wabongo walete kilicho bongo tushindane, baadaye kama ilivyo tabia yenu ya kishamba ya kuzaliwa mkaanza kuleta kejeli na majivuno na kuita watz majina ya ajabu ajabu, na hamkuishia hapo mlienda mbali zaidi kwa kuwafuata watz popote walipo kwenye mitandao ya kijamii kuwatusi kila aina ya matusi, so from there mkawa mmeharibu maana ya uzi, ikabidi twende na tabia zenu za kishenzi kama mlivyo na ndiyo mnaona sasa matokeo yake, tunawanyoosha kweli kweli, imefika wakati popote pale alipo mtanzania mkenya hagusi hata kwa dawa, mana sisi katika kila jambo sisi ni mara kumi yenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama hamngekuwa na midomo mirefu hii thread haingekuweko.
Japo nimechelewa kujibu sababu ya siku kuwa busyAlafu jana nimeiona timu ya Ivory coast imekuja Tanzania sijaelewa imekuja kufanya nini au imekuja kucheza na nani mana Benjamin Mkapa umeshakuwa uwanja wa Afrika nzima.
Imekuja kucheza na simba club bingwa hio ni asec mimosa mechi jumamos ya keshokutwa
Burundi ilichagua BM stadium kucheza mechi zake za nyumbani!
kwa ujinga ufukara na ushamba na hadithi za vijiweni hapo mmetushinda mara kumi...trophy ni yenu budaHii thread wkt inaanza ilikuwa ya kistaarabu sn, ilikuwa kwamba lete kitu kilichopo Kenya wabongo walete kilicho bongo tushindane, baadaye kama ilivyo tabia yenu ya kishamba ya kuzaliwa mkaanza kuleta kejeli na majivuno na kuita watz majina ya ajabu ajabu, na hamkuishia hapo mlienda mbali zaidi kwa kuwafuata watz popote walipo kwenye mitandao ya kijamii kuwatusi kila aina ya matusi, so from there mkawa mmeharibu maana ya uzi, ikabidi twende na tabia zenu za kishenzi kama mlivyo na ndiyo mnaona sasa matokeo yake, tunawanyoosha kweli kweli, imefika wakati popote pale alipo mtanzania mkenya hagusi hata kwa dawa, mana sisi katika kila jambo sisi ni mara kumi yenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣