Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi haya masenge mmeyapa msimamo mpaka sasa? Tukisema hii region ya EA ni region ya kipuuzi sana wanaona tunawatusi, watz ifike mahali tupiganie haki yetu tutolewe kwenye hii region iliyolaaniwa.
Screenshot_20231119-120757~2.png
Screenshot_20231119-120818~2.png
Screenshot_20231119-120711~2.png
 
acha kuhamisha magoli mjomba barajingine na east africa panahusianaje tetea kwako
Alaf anashindwa kuelewa dubai ni jangwa 100% wao mvua kama hzo zinaeza nyesha mara moja in 20 yrs lakini wao wanaojinasibu na city ambayo sio jangwa na iko near ocean 😅😅

Maji yamemeza mji mzima eti anapanua mdomo kufananisha na modern city like mwanza and arusha 😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom