Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Sukuma gang tupo wengi mkuu.
Screenshot_20211019-000233.jpg
 
Sukuma gang tupo wengi mkuu.
View attachment 2818875
Yaani hapa ndio hua namdharau huyu jamaa
Awali alikuwa Safi sana Ila Saivi kawa na mambo yakipumbavu sana Yaani Sijui Magu alimfanyia Nini Jamaa
Kutwa Ujinga Kuhusu Magu!!
Bahati mbaya Kwake wengi Humu Magu Ndiye aliyetupatia Kiburi hata Kubishana na Hawa Wakenya sio Rahisi Kumponda Akaeleweka kamwe
 
Just one game and your pants on fire like you already qualified for the World Cup…..tuliza boli Kijana…. I will save your post for future use….🤣🤣🤣🤣
Nakumbuka wewe ulijipiga kifua kusema kwamba kwenye kundi lenu mtawapiga wote while sisi tutafungwa hatupati mechi hata moja 🤣🤣 vipi imekuaje leo..
 
Back
Top Bottom