The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kwani mmeanza leo kuongopa? 90% ya picha mnazoweka humu ukikuta picha imenyooka hakuna jua kali hata kidogo ujue hiyo picha imeibwa, jua kali is part and parcel of kenyans life.Nikipost nimedelete hii picha ila sijui kumefanyika nini. Ila hapa Mombasani vile.