Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani usingefanya haraka kumjibu sahvi angekua anapepea kipumulio 😅😅😅
Next time nitaacha kukurupuka mtukufu mwenyekiti. Hii formula ya 5-4-1 ndio nimeanza kuielewa. Kule kwetu tanga tunamsemo wetu wenyewe mtu anapopata kibonde tunampa motisha kwa kumwambia "wataktubu kamaa taraha" 🤣 yani "jipigie uwezavyo wewe" 🤣🤣🤣
 
Next time nitaacha kukurupuka mtukufu mwenyekiti. Hii formula ya 5-4-1 ndio nimeanza kuielewa. Kule kwetu tanga tunamsemo wetu wenyewe mtu anapopata kibonde tunasempa motisha kwa kumwambia "wataktubu kamaa taraha" 🤣 yani "jipigie uwezavyo wewe" 🤣🤣🤣
Hata usijali ndugu mjumbe 😅😅😅
Ngoja tuendelee kumwinda najua hua hachelewi kuangukia meno
 
wivu.png


Huyu jamaa ana wivu sana na Tanzania, Kila anayoweka kuhusu Tanzania lazima aihusishe na kitu kibaya. Hafanyi hivyo kwa Kenya wala nchi nyingine za Afrika.
 
Back
Top Bottom