Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,913
- 103,782
Kigamboni City Project sio mradi wa decorations,ilikuwa ni mradi wa private sector acha kutetea ujinga wa mtu wenu.
Kama hufanyi decorations unajali returns Sgr ya Dar-Mwanza unajenga Ili ikasafirishe mzigo gani zaidi kuwa ni tembo mweupe?
Developers wangekuwa private sector sisi tungepigaje? Ukiambiwa Serikali ndio itatoa pesa kujenga Kigamboni?
Watu wenye mawazo ya kijinga na kijima na ya kijamaa mko wengi sana Bado na ndio mnakwamisha Tanzania hii.
Picha zote za majengo ya Dar mnayolingia humu ndani zilikuwa developed awamu ya Mkapa na JK.Wangekuwa na akili ya kindezi kama ya Mwendazake mngetoa wapi Cha kujivunia?
Nampongeza Samia Kwa kuwa totally opp na mawazo ya wajamaa ,she is business minded and friendly ndio maana mambo yanaenda smoothly bila visingizio wala kuvimba sura, mapovu na mihemko.
Tanzania Huwa tunapata viongozi wenye mawazo ya hovyo sana upande wa Wakristo(RC),utaona akitoka Samia atakuja mwingine atavuruga Kila kitu.
View: https://www.instagram.com/p/Czxe9_cIOyk/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Unaliuliza hilo tabulele linajua nn.ATC 767 haijaanza kupeleka cut flowers uholanzi bado au?
Yani hii mijitu imekaa kama punda vile yani hata hujui anapata faida gani kudanganya yani wanamaisha fake all the time 😅😅😅😅Huyu Kimbg ni kijamaa cha hovyo sana, 🤣🤣 sasa unadanganya ili iweje.? Hii ni kipoison ya wapi hii.? 👇View attachment 2817325
I talk of the length!Kisa!? Iko cable stayed!? Najua kwa akili yako unadhani cable stayed ndio bridge Iko mbele kuliko zingine 😂
Kigamboni City Project sio mradi wa decorations,ilikuwa ni mradi wa private sector acha kutetea ujinga wa mtu wenu.
Kama hufanyi decorations unajali returns Sgr ya Dar-Mwanza unajenga Ili ikasafirishe mzigo gani zaidi kuwa ni tembo mweupe?
Developers wangekuwa private sector sisi tungepigaje? Ukiambiwa Serikali ndio itatoa pesa kujenga Kigamboni?
Watu wenye mawazo ya kijinga na kijima na ya kijamaa mko wengi sana Bado na ndio mnakwamisha Tanzania hii.
Picha zote za majengo ya Dar mnayolingia humu ndani zilikuwa developed awamu ya Mkapa na JK.Wangekuwa na akili ya kindezi kama ya Mwendazake mngetoa wapi Cha kujivunia?
Nampongeza Samia Kwa kuwa totally opp na mawazo ya wajamaa ,she is business minded and friendly ndio maana mambo yanaenda smoothly bila visingizio wala kuvimba sura, mapovu na mihemko.
Tanzania Huwa tunapata viongozi wenye mawazo ya hovyo sana upande wa Wakristo(RC),utaona akitoka Samia atakuja mwingine atavuruga Kila kitu.
View: https://www.instagram.com/p/Czxe9_cIOyk/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Kigamboni City Project sio mradi wa decorations,ilikuwa ni mradi wa private sector acha kutetea ujinga wa mtu wenu.
Kama hufanyi decorations unajali returns Sgr ya Dar-Mwanza unajenga Ili ikasafirishe mzigo gani zaidi kuwa ni tembo mweupe?
Developers wangekuwa private sector sisi tungepigaje? Ukiambiwa Serikali ndio itatoa pesa kujenga Kigamboni?
Watu wenye mawazo ya kijinga na kijima na ya kijamaa mko wengi sana Bado na ndio mnakwamisha Tanzania hii.
Picha zote za majengo ya Dar mnayolingia humu ndani zilikuwa developed awamu ya Mkapa na JK.Wangekuwa na akili ya kindezi kama ya Mwendazake mngetoa wapi Cha kujivunia?
Nampongeza Samia Kwa kuwa totally opp na mawazo ya wajamaa ,she is business minded and friendly ndio maana mambo yanaenda smoothly bila visingizio wala kuvimba sura, mapovu na mihemko.
Tanzania Huwa tunapata viongozi wenye mawazo ya hovyo sana upande wa Wakristo(RC),utaona akitoka Samia atakuja mwingine atavuruga Kila kitu.
View: https://www.instagram.com/p/Czxe9_cIOyk/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
View: https://youtu.be/GIs-YbEOlpk?si=B4sqV987xHBbw78s
MY TAKE
Vitu Ukunya hautawahi ona pale kundustan
Watajenga si unajua mambo ya budget haya!Hvi barabara ya kutoka mbande kwenda chanika mbona imesahaulika sana ??
Na barabara ya kutoka banana kuja msongola kwann hawaijengi?
Ndio bypass zenyewe lakini hola
View: https://youtu.be/GIs-YbEOlpk?si=B4sqV987xHBbw78s
MY TAKE
Vitu Ukunya hautawahi ona pale Kundustan!
Magu alikuwa njiani kuijenga ila kwa sasa tusahau, ni shida sn aisee, ile barabara inajengwa nusu nusu alafu kule kuna hospitali Amana imehamishiwa kule ila miundombinu sasa ni changamoto mno.Hvi barabara ya kutoka mbande kwenda chanika mbona imesahaulika sana ??
Na barabara ya kutoka banana kuja msongola kwann hawaijengi?
Ndio bypass zenyewe lakini hola
Extender Canopy gani tutumiee hiii Teargas au hii Teargass ????😅😅😅😅😅😅Mnuka mavi teinaaaaa🤣🤣🤣🤣
View attachment 2817365
Yes ujenzi ulishaanza tayar kuna vipande vimepigwa lami lakini nimeona sasa miaka 3 inakatika na hakuna kinachofanyika au kule labda wanaishi ngedere sio watuMagu alikuwa njiani kuijenga ila kwa sasa tusahau, ni shida sn aisee, ile barabara inajengwa nusu nusu alafu kule kuna hospitali Amana imehamishiwa kule ila miundombinu sasa ni changamoto mno.
Nikipost nimedelete hii picha ila sijui kumefanyika nini. Ila hapa Mombasani vile.Huyu Kimbg ni kijamaa cha hovyo sana, 🤣🤣 sasa unadanganya ili iweje.? Hii ni kipoison ya wapi hii.? 👇View attachment 2817325
Kwann ulipost sasa ukijua unadanganya 😅😅Nikipost nimedelete hii picha ila sijui kumefanyika nini. Ila hapa Mombasani vile.
Yani kuna watu wengi sana mkuu, ukitaka kujua mida ya asubuhi au jioni kuna gari nyingi mno lkn barabara hovyo.Yes ujenzi ulishaanza tayar kuna vipande vimepigwa lami lakini nimeona sasa miaka 3 inakatika na hakuna kinachofanyika au kule labda wanaishi ngedere sio watu