Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

small things excite tanzanians how does bus ya azam improve the gdp per capita of 900 dollars...hehehe.i have noticed the poorest countries like tanganyika like this cosmetic display of opulence amounting to nothing..zero.
We kenge if it’s a small thing why can’t you showcase such? And talking of who is poor kuna country watu wake wana suffer than kunyans?
 
Kuna mkaka mmoja nilimsikia akisema hiyo basi ni state of the art eastafrica nzima hakuna basi deadly kama hiyo nikatabasam and my answer was sawa nimekuelewa 😎
Wengi wao walidanganywa na familia ya uhuru kenyatta kua wao ndio wako mbele africa nzima 😅😅😅😅😅😅 sasa leo wanashtuka wanajikuta wako 100 yrs back
 
Stadium baada ya renovation 😅😅😅
20231118_142411.jpg
 
Naomba kujua excuse yao saiz ni nn?
Tujikumbushe tulipotoka
  • Tuoneshe 1 km ya reli
  • Tuoneshe 100km ya reli
  • Tuoneshe electrical catenary
  • Kwa umeme upi
  • Tuoneshe train zitakazokuja (general)
  • Tuoneshe EMUs/bullet trains/joka
  • Tuoneshe double deckers
  • Tuoneshe kipande cha bandarin

Last time niliona wamehoji nauli.. wanasema watanzania ni mafukara hatuwezi kuziafford
Saiz sijui wako kwenye hoja gan
Labda haziogelei u kupaa....
 
Back
Top Bottom