Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii sio 5 star front desk lounge wakundustan ni Muhimbili national hospital

20231117_132221.jpg
20231117_132225.jpg
20231117_132223.jpg
20231117_132227.jpg
 
Yo mkipata muda muangalie hii video, ni mji mpya wa Senegal, Damniadio, ni world class City.. kenyans muendelee kutamba tu na fake jidipii 🤣🤣.. 👇
View: https://youtu.be/gKqiyXvPJoM?si=JFg7pr7HXApgtJ6w. Watu wapo serious wakuu

Kama yule mnaemsifiaga asingevuruga ila Project ya Kigamboni nadhani saizi ingekuwa imefika mbali sana maana ilikuwa iwe developed na private sector ikiwa well planned.

Tungekuwa Bora kupita hata Eco Atlantic ya Lagos.

Mwisho Senegal ni Moja ya Nchi zinaongoza Kwa economic growth Kwa miaka ya karibuni Kwa Africa na Iko Iko led na Private Sector investments.

Mwisho Senegal labda kama iwe export manufacturing hub but Haina Watu wengi hivyo Bado in terms of competitivess Kanda ya EAC Iko vizuri kuliko sehemu yeyote ya Afrika.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1723011755662532677?t=wt-Y4NnCRHl5zV2bFINCWA&s=19
 
Usingemuonesha kwanza ungemuacha kwanza akasimamia kucha alaf tumuekee pilipili kichaa kwenye kijambio 😅😅😅😅

😂😂😂😂 Siku hizi wanapapaswa kende kila eneo, Zamani wabongo walikua wanaamini promo za Wakundustan ila sasa hivi wanabishiwa live bila chenga na wanapewa makavu yao.
WANAJIONAGE WAPO MBELE😂😂😂

IMG_1880.png
 
😂😂😂😂 Siku hizi wanapapaswa kende kila eneo, Zamani wabongo walikua wanaamini promo za Wakundustan ila sasa hivi wanabishiwa live bila chenga na wanapewa makavu yao.
WANAJIONAGE WAPO MBELE😂😂😂

View attachment 2816499
🙄 Msalato airport ndio hii.? Hawa nyang'au wa north watakimbia humu 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom