Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ile mombasa hua hamuoneshwi 😁😁😁

 
Wakenya ajira hizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://twitter.com/MkapaFoundation/status/1725438400793030865?t=H-ja5zd6I3EWEaKjAjEh4g&s=19
20231117_173400.jpg
20231117_173402.jpg
 
Tanzania ni tajiri siku nyingi tuu viongozi ndio wamekuwa wakituangusha siku zote
Kwanza hao Jamaa wametaja miradi michache sana

-Sgr ya Kigoma -Bujumbura
Mradi wa bwawa la Kidunda over 300bln
-Mradi wa bwawa la Farkwa Over 300 nln
-Mradi wa Maji Miji 28 Dola mil.500
-Mradi wa Vyuo Vikuu HEET Dola mil.450
-Miradi wa Maji Songea zaidi ya 160bln
-Miradi wa Maji Mbeya over 170 bln
-Miradi wa Maji Ruangwa-Nachingwe over 150bln
- Umeme wa jua Kishapu zaidi ya 100bln
-Ujenzi wa meli Mpya zaidi ya 360bln etc

Hapo Bado projects Moja Moja za Barabara ni nyingi balaa,viwanja vya ndege, Airports ,mashule,mavyuo ya Ufundi, Bandari, Irrigation schemes,nk nk
 
Back
Top Bottom