Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

where the makwapas meet....this thing is still a big fail
 
These guys are jokers they come out here kifua mbele ku parade upuuzi wao kama ile state of the art green terminal, canopy ya JKIA and bus go ambazo hazifiki 20 nchi nzima. I think you can see what sort of people tunao discuss nao humu ndani.
Nimeshindwa kujizuia kucheka 🀣🀣🀣. Hivi nyie nyang'au mlitumia kiasi gani kufanya renovations hapo?? Just asking for a friend


View: https://twitter.com/MwangoCapital/status/1724061336978501798?t=UrdRS9b4IdmzYku7PTa_fw&s=19
Hivi ni roof inavuja ama ni canopy ndio matatizo 🀣🀣🀣
 
Sababu zingine Zina mashiko ila Hilo la tuta haliingii akilini.

Mimi sio mtaalamu wa mambo ya reli lakini Kwa common sense tuu cape gauge ni mwendo mdogo na pressure kubwa kuliko Sgr hivyo tuta lake lazima lihimili pressure kubwa Kwa kanuni ya small area higher pressure and vice-versa.
 
Watu wanapoona tuta la reli wanafikiri watu walijiamulia tuu kujaza udongo kama vile wanalima matuta ya mihogo.
Kuhusu tuta umepiga kamba ,kwamba tuta la cape gauge haliwezi kubeba uzito wa Sgr ya diesel kama ya Wakenya?

Weka sababu ya kitaalamu tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…