chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Sleeping village
Ni laana kurudi 2025 na huyu mwehu!
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1723127070123786420?s=20
Mzee nilimaanisha hilo Wigi. Acha kujitoa ufahamu. Pirates of Caribbean mwendo wa mawigi.Natumai umevalia ngozi ya ngómbe hapo ulipo.
Tunaogelea Wigiiii, Wigii la katani.Vilaza wa bongo hushangaza sana. Unasema ukoloni wakati kifaa ulichotumia kuandika huu ujinga ni uzinduzi wa mkoloni!!!
Unasema ukoloni wakati wabunge wenu havaa suti hadi tai. Jiskize kwanza wewe bongolala usiejua lolote
You're too slow lakini nikufafanulie kila kitu. Mbona useme wigi ni ukoloni kisa asili yake ni Ulaya yet hizo nguo ulizivaa asili yake bado Ni Ulaya? Bongolala at his best.Mzee nilimaanisha hilo Wigi. Acha kujitoa ufahamu. Pirates of Caribbean mwendo wa mawigi.
So unaona fresh kwa mawigi ya 17th Century hukoYou're too slow lakini nikufafanulie kila kitu. Mbona useme wigi ni ukoloni kisa asili yake ni Ulaya yet hizo nguo ulizivaa asili yake bado Ni Ulaya? Bongolala at his best.
Kama vile Tanzania yote ni uswaziRuiru kuna ma slums kushoto kulia kama unabisha sema suuu nikuumbue 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Infact hakuna sehemu ikakosa slums Kenka
Don't you know they're all mentally handicapped? Kibera is 2.5 square kilometers. Going by his figures, that means Kibera has a population density of 1 million people per square kilometer. Only a bongolala would believe thatThe good news is that Google never lies … it’s a neutral judgment….now let’s compare Kibera in relation to size of Nairobi…. You really think 2.5 million dwellers would fit here?…. Even a mentally handicapped person has a better reasoning than you…
View attachment 2810042
Kama unaona vitu vya wazungu ni ukoloni basi uachane navyo vyote ukianza Na hiyo simu unayotumia kunijibu sahii. Alafu uambie pia majaji wenu waachane Na hizi kanzu za kikoloni. Usiwe unaona ukoloni mwengine akifanya Ila wewe ukifanya unaona Sawa.So unaona fresh kwa mawigi ya 17th Century huko
Actually, the part you showed is more than double the actual size of Kibera slum. Remember just a section of Kibera is a slum. Sections like Ayany, Olympic and Highrise are better than any middle-class neighborhood in Dar.The good news is that Google never lies … it’s a neutral judgment….now let’s compare Kibera in relation to size of Nairobi…. You really think 2.5 million dwellers would fit here?…. Even a mentally handicapped person has a better reasoning than you…
View attachment 2810042
Hiyo wigi ni ya mbepari. Koti na tai wanazovaa wabunge wenu ndani ya bunge yenu ni ya mbepari. Do you even listen to yourself?Tunaogelea Wigiiii, Wigii la katani.
Umeelewa?