Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KRA owns it. Show us what TRA owns. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Tanzania-Revenue-Authority-TRA.jpg
lol
 
afadhali we have never denied our kibera ...hii yenu ambayo 95% ni uswazi slum inasaidika aje
 

Attachments

  • daressalaam.jpg
    daressalaam.jpg
    70.9 KB · Views: 4
  • dar.jpg
    dar.jpg
    92.9 KB · Views: 6
lol....sycophancy at best...a country with a per capita of 900 dollars like tanganyika is a very poor country......i know for cosmetic purposes and shitstorming over here you have to act all good while 90% of tanzanians still cant afford a permanent house
Nashindwa kuelewa Kenya uchumi wenu mkubwa uko wapi!!!
Kuna Kuna higher inflation rate katika bidhaa za chakula kuliko Tanzania pia hata mafuta kwenu yamepanda mara mbili nanusu ya Tanzania na serikali yenu yashindwa kutoa ruzuku kwaajili ya kuweka unafuu pande zote hizo.
Kiasi Mmeshauriana na Uganda East Africa iagize mafuta kwa pamoja ili kuleta unafuu km was Tanzania.
Wakati huo Tanzania inapambania nishati mbadala magari hubadilishwa mfumo kuja wa gesi Kila siku na pikipiki na bajaji zimeanza badilishwa mfumo kuja wa umeme huku gari zikisubiriwa mwaka 2025.
Yet mnajiita mna uchumi mkubwa.
Pumbavu kweli ninyi
 


MY TAKE
Headache nyingine kwa Kundustans' loss minting KQ!
 
Alafu ukoloni bado haujaisha huyo pembeni ya Ruto yupo Enzi za Pirates of the Caribbean.
Vilaza wa bongo hushangaza sana. Unasema ukoloni wakati kifaa ulichotumia kuandika huu ujinga ni uzinduzi wa mkoloni!!!

Unasema ukoloni wakati wabunge wenu havaa suti hadi tai. Jiskize kwanza wewe bongolala usiejua lolote
 
Back
Top Bottom