The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ruiru kuna ma slums kushoto kulia kama unabisha sema suuu nikuumbue 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Infact hakuna sehemu ikakosa slums Kenya.
Ruiru kuna ma slums kushoto kulia kama unabisha sema suuu nikuumbue 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hatushindani na nyie kwenye soka, ni ujinga.Leta FIFA ranking pamoja na head to head ya Kenya na nchi yenu
Kisumu pia kuna ma slums kushoto kulia.
Kama kawaida yake mzee wa expressway na gtc 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wakenya wenye asili ya tanzania, ikumbukwe kuna diaspora kubwa yenu Kenya.Mna miaka 500 kufikia football ya TZ,hao wakenya wenzako wakijidai na Yanga yao,binafsi siijui hata jina la timu 1 toka kundustan
Mnatumia dollar billion 6 kuimport chakula halafu hiki kipothole ndio kiwape hiyo jeuri?Bura irrigation scheme expansion. Mitanzania inaenda kupoteza soko la mahindi. View attachment 2809168View attachment 2809169View attachment 2809170View attachment 2809171View attachment 2809172
daah this kind of neighbor is all what one needs... anachomekea hapohapo!!Ndugu Wakunya.
Watanzania tunawatakia maandamano mema. Kwa picha picha zitakazorushwa mtandaoni tunarajia kuona mambo mazuri kama magari mazuri, mapya, lami kila kona, usafi kila kona ya nchi, mavazi mazuri na mambo mengine mazuri mazuri mnayotutangazia humu.
Asante, kila la kheri
Simon.
Akijiandaa kwenda uarabun hatujulishwi, akienda nchi nyingine tunajulishwa 😄
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1722816494734872887?t=oRgryV3AF7Rt783dqTaRMQ&s=19
Itokee wapi?? 😅😅😅😅 muna shida mpaka kwenye tundu za puaWakenya wenye asili ya tanzania, ikumbukwe kuna diaspora kubwa yenu Kenya.