Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na tumenyamaza tu. Like nothing is going on. Hii ingekuwa inajengwa Dar hadi mende za Tandale zingejua.

And then there is this one. Altura Tower in Upper Hill. 30 floors
1697924823908.jpg
1697924805382.jpg

Yani ujenzi wa highrises in Nairobi are so many we even lost count. Kuna jamaa alisema juzi kwamba the only green net you'll ever see in Dar at the moment is a fishing net😂😂😂😂
 
TRA ni Mamlaka kubwa... Hapo HQ anakaa kamishna mkuu na watendaji wachache.. Kuna jengo la TRA long room.. Pia Kuna TRA office ndani ya TPA tower.. Pia Kuna kitengo cha Elimu kwa walipa kodi jengo la peke yake... Hizo ni main

Then zinakuja za kila mkoa na wilaya Nchini.
Bongolala, hapa tunaongea kuhusu jengo TRA inamiliki. Si hizi story za abunuasi. Naona umetaja TPA. The question is: does TRA own TPA? Mbona unajisumbua kuficha aibu?
 
TRA ni Mamlaka kubwa... Hapo HQ anakaa kamishna mkuu na watendaji wachache.. Kuna jengo la TRA long room.. Pia Kuna TRA office ndani ya TPA tower.. Pia Kuna kitengo cha Elimu kwa walipa kodi jengo la peke yake... Hizo ni main

Then zinakuja za kila mkoa na wilaya Nchini.
Bongolala, hapa tunaongea kuhusu jengo TRA inamiliki. Si hizi story za abunuasi. Naona umetaja TPA. The question is: des TRA own TPA? Mbona unajisumbua kuficha aibu?
 
Aisee niko disturbed kwenye hili hawa jamaa misaada yao huja na conditions za Sunni vs the rest! Hizi nchi za Middle east wako primitive kinoma na Wahabism doctrine yao tusijegeuzwa Yemen!
Usiwe na wasi na hayo! Wahabisim kwao ni tool for control. Kama kweli ni wahabi huyo mfalme angeweza hata kukaa pembeni ya mama!? Janja janja tu nao hao waarabu!
 
TRUE STORY… I thought it was kind of funny to share it here…. I had a phone conversation with my Cuzo who recently relocated to Dar ( Kenya Embassy)…I was asking about the Fishing village she lives in and in the middle of our conversation she tells me she met this nice guy in Dar and they have been in 2 lunch dates already, actually the second one was yesterday… I didn’t like that …🤣🤣… I told her I don’t believe it.. so she sent me a photo of them two in some fancy place in downtown Dar…. Shockingly enough , I thought the image was Ichoboy ..🤣🤣…. I told her .. Hell to the No you can’t go out with that evil guy… she was surprised like I knew him.. so I told her to ask him if his name was Ichoboy … apparently it was not… but still am not sure yet.. So Ichoboy ,am watching you..🤣🤣… My Cuzo is still in dilemma about my hostile reaction… I just told her even if I was to explain about it, she would never understand…. The battle is real …🤣🤣🤣🤣
Unonekana unamuwaza sana😅
 
Back
Top Bottom