Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii sio benjamin mkapa hii ni uhuru stadium
Je wanalijua hilo 😅😅😅😅😅😅
20231110_083800.jpg
 
Akijiandaa kwenda uarabun hatujulishwi, akienda nchi nyingine tunajulishwa 😄

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1722816494734872887?t=oRgryV3AF7Rt783dqTaRMQ&s=19

Hujulishwi na nani? Punguza unaa usio na Tija.Wiki Jana alikuwa Rwanda ulijulishwa na nani?

Ingia kwenye tovuti za Serikali au Watoa taarifa za serikali ziara ziko wazi kuanzia ya Moroko Hadi Saudia.

Mwisho popote Samia anapoka yaga ujue ni biashara na uwekezaji sio porojo zisizo na msingi.
 
Mzee jaribu kujifunza international politics na misimamo ya hizi nchi, especially Saudi Arabia! Tuwe waangalifu ni mabingwa wa ku-instigate migogoro. Fuatilia kiini cha mgogoro wa Ethiopia vs Eritrea, na who were financial backers?
 
Tanzania haiwezi kuingiliwa kizembe hivyo
 
Back
Top Bottom