Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mana naonaga jamaa kunyans wakipost kila siku hii Haile Selassie avenue. Kumbe ndio kamtaa ka central bank yao 🤣🤣🤣.. nilitaka na mimi kuona more pictures za mitaa yetu ya central bank. I'm sure hii ni joke tu 👇View attachment 2808442..
Huu mtaa wa Central Bank yetu haukamatiki wala hutakaa ufanane na kitu chochote cha TOPESTAN, Zingatia zile pavements kutoka Garden avenue, Sokoine drive, Mitaa ya Bunge pale hadi kuja kukutana na BRT lanes huku Kivukoni Front. Huwezi fananisha na hiyo kutu ya debe😂😂😂.
 
kaka inaitwa Bank of Tanzania (BOT)! mambo ya central bank achia Wakunya... 😆 😆
 
Kwa mabasi Tanzania mko bado nyuma sana ya Kenya. Kama hii huko Bongo huziona tu kwenye runinga
View attachment 2808363
Eti Isuzu, kwani ni issue!?
View attachment 2808365View attachment 2808366View attachment 2808368
chassis za malori za Githurai! Ukinionyesha basi za Isuzu direct toka GM Motors nitaheshimu the Guardian!

Angalia top picture vile coaches hukaa!
index_im01.jpg
 
Mana naonaga jamaa kunyans wakipost kila siku hii Haile Selassie avenue. Kumbe ndio kamtaa ka central bank yao 🤣🤣🤣.. nilitaka na mimi kuona more pictures za mitaa yetu ya central bank. I'm sure hii ni joke tu 👇View attachment 2808442..
Central Bank imekaa kama national milling 😂😂😂

BoT Mwanza branch
images - 2023-11-09T103728.652.jpeg

National milling Kunyaland 😂😂😂

images - 2023-11-09T103946.005.jpeg
 
Mombasa ndio rika ya Dar..infact Mombasa looks more developed
 
Attachments

  • Mbsa.jpg
    Mbsa.jpg
    456.6 KB · Views: 7

MY TAKE
Sasa kama mlijenga Eldoret pipeline haina capacity ku-serve Uganda, ni kitu gani lazy Kundustan inaweza? Si mli-modernize hiyo Eldoret pipeline majuzi tu?

Na mbona mnaumia kunyimwa mradi wa EACOP? Sisi si level yenyu! Tuna-host 2 major gas pipelines, about to host EACOP n don't forget TAZAMA oil pipeline since 1970s na juzi Zambia wame-sign agreement ya gas pipeline!

Endeleeni ku-mobilize activists wa-protest EACOP! Wakati mmeomba gas pipeline connection btn Dar n Mombasa!

Pia Leo

CC: NairobiWalker KANAIRO mwaiofhawaii Teargass n Nicxie
 
Back
Top Bottom