Sasa hiyo ina nini!! Ogopa sana mabasi za KenyaWakunya Kwa Sasa Kila kitu mnatia aibu.
Hiyo ni scraper sio basi.Mabasi Looks like this 👇View attachment 2808386View attachment 2808387View attachment 2808389
Sasa hiyo ina nini!! Ogopa sana mabasi za KenyaWakunya Kwa Sasa Kila kitu mnatia aibu.
Hiyo ni scraper sio basi.Mabasi Looks like this 👇View attachment 2808386View attachment 2808387View attachment 2808389
Bus haina sehemu ya kuwekea chupa ama kweli mko nyuma sana kwenye hii sector dah. Huku kwetu sehemu maalumu kwa kuwekea chupa na a stowed mini table ni standard feature.I used these buses and I can confirm how comfortable they are. Unaweka chupa ya maji kwenye dirisha na haiwezi anguka. Kutulia. Hiyo pia inaonesha barabara ni nzuri
View attachment 2808393
View attachment 2808390
Unataka nikuletee videos za mafuriko hapo uswazi village?Halafu nyang'au wanaamini kabisa eti kanchi kao kameendelea😁😁
Hapo ndio wivu imekufikisha? Unataka tuweke uswazi za Dar.Huu upumbavu wa kulinganisha Tz na Kenya ni umavi mavi wa kijinga kabisa, nyie kila siku vipicha vyenu ni south c, karen kisumu mmemaliza wajinga nyie.
Exactlyhii kama tu bamburi estate
Kwanini hakuna picha nyingi sana za hii mitaa humu ndani.?
Mana naonaga jamaa kunyans wakipost kila siku hii Haile Selassie avenue. Kumbe ndio kamtaa ka central bank yao 🤣🤣🤣.. nilitaka na mimi kuona more pictures za mitaa yetu ya central bank. I'm sure hii ni joke tu 👇
Lete tu lakini haitabadili kitu😂Unataka nikuletee videos za mafuriko hapo uswazi village?
Kwa upande huu zipo nyingi sana na zingine kutoka Level 8. Na ukiwa kule juu Privacy muhimu maana chini kuna Swimming pool😂Kwanini hakuna picha nyingi sana za hii mitaa humu ndani.?