Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna tofauti kati ya flyover na majengo kama Pinnacle...majengo kama Pinnacl na Montave huwezi ukaziona nchi zote...utaziona tu Kenya, SA ama Egypt...ila tukija kwa flyover nakuhakishia hata Somaliland wako nazo... naona umeshainua mikono tayari
Zikwapi sasa 😀😀😀😀😀 naomba utuoneshe ziko wapi????😛😛😛😛
 
naona mmelia lia sana kuhusu Pinnacle...sawa...wacha niwalte zingine basi...
2. Montave
mont4.jpg
Upper-Hill.jpg
mont3.jpg
Upperhill%20(9).jpg
Montave-Leisure.jpg
greenfield-tower-nairobi.jpg
montave2.jpg
Wow as usual i love render😀😀
 
The famous renders uchiboy hates. Wewe develop hii isht then come tukuwe na an intelligent dialogue. Sasa hivi hii ni rubbish my friend
hehehe endeleeni kutuonesha renders za montave na pinnacle 😀😀😀😀😀😀
 
So 2014 wameanza kuchimba msingi leo ni 2017 ni miaka 4 hapo ni msingi tu.
Umesema hilo jengo litakuwa na ghorofa more than 40
Kwa hiyo kwa statistic ya uchimbaji wa msingi for 4yrs tuchukulie kila ghorofa ni mwaka mmoja.
Jengo litakamilika kwa mda wa miaka 40. Hii is just minimum approximation linaweza likaenda zaidi ya hapo.
Kuita white elephant ni sawa kabisa.
tangiapo ni white elephant😀😀😀😀 wakikuonesha nitag plz
 
no problem....hata nikiwatolea Pinnacle, bado hamwezi mka compete na Nairobi espcially with Montave, Prism Avic etc
Where is montave?????😀😀😀😀😀 Usijifanye kuitoa pinnacle itoe na montave render😛😛
 
Uhuru Kenyatta laid the foundation ya Pinnacle. If that is not enough I dont know what is. Naona most of you have that bitter wishful thinking that nothing will materialise lol. Shit is about to go down here guys. Na kukaa in a salty denial inaonyesha how butthurt ABOUT Kenya you guys are.
where is construction ili isiwe render where is construction?????😀😀😀😀😀
 
Jengo liko wapi rafiki? Umeona lakini jengo la PPF HQ? Next year litakuwa tayari. Tunataka project za namna hiyo siyo project za kwenye karatasi. Pinnacle project is dead, mark my words
Sio pinnacle tu na montave pia bila kusahau tatu city😀😀😀
 
ukiskia wameita white elphant, ni wivu wakonayo...The Pinnacle is sooo alive and kicking but jealousy is consuming them...as in, why the hell would they dig the foundation completely, call the president to officially launch it then stop its construction few months later?
Tuoneshe basi constructions😀😀😀😀 kama huna endeleeni kutuonesha renders
 
Hahaha, now I can tell most of them here are just salty and feel hurt they are from an LDC. You know at times when Tuusan is around we can have a mature logical argument. Ndinda is good too I like his work. Kandonda ako sawa but I think at times his inner child takes over. Lakini some of these bluds here are just too negative and super paranoid and want to believe Kenya is a shithole ndio waskie good about themselves. Talk about inferiority complex
Lazima mutuone tofaut kwasababu tunawaeleza ukweli na ukweli unauma😀😀😀😀 siku hzi hakuna danganya toto kama zamani, dunia ya leo utamdanganya nani mtoto wa miaka minne anajua uongo wote
 
pesa zipo...subiri tu utaona jengo lenyewe likipenyeza the African skyline...natumai utajinyonga sasa sababu mna wivu tele...mliita SGR white elephant pia ila sasa hivi iko express...
SGR imejengwa na pesa za mkopo kutoka china na wachina wamewachakaza kisawasawa 3.8 billion usd hio first phase bado hujaeka interest😀😀😀😀 wachina wamewanyoosha ipasavyo
 
wewe ndiye uliyeiweka...sio sisi...sisi tunasubiri tu miaka mitatu tujivunie jengo ndefu kabisa barani...yaani mpaka the big boys wa Afrika, Nigeria, SA, Egypt watakuwa wakituzama kule mbinguni...
Where is???? Plz be serious endelea kutuonesha hzo renders😛😛😛😛
 
The Pinnacle project is dormant project now. Can you give us active projects. Sisi tunakuletea project watu wapo wanafanya kazi hata leo hii. Leta project active.
Wakikuonesha tu bro nitag usiache😀😀😀😀
 
Who are you to judge our projects? You just a sad salty LDCian mahali. To us they are viable and its ongoing, by 2020 kama haitakuwa imekamilika, then you were right. Sasa hivi, yoou just salty, punguza chumvi kaka/dada

Na si ni wewe ulipost hilo pia, so acha kulialia, ata kama kuna isht ya kufy kwa moon iko proposed tutaweka, tunafuata your rules blud
Leo kisu cha motoo😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom