Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

7rjtZ.jpg
 
2014 ikiisha
So 2014 wameanza kuchimba msingi leo ni 2017 ni miaka 4 hapo ni msingi tu.
Umesema hilo jengo litakuwa na ghorofa more than 40
Kwa hiyo kwa statistic ya uchimbaji wa msingi for 4yrs tuchukulie kila ghorofa ni mwaka mmoja.
Jengo litakamilika kwa mda wa miaka 40. Hii is just minimum approximation linaweza likaenda zaidi ya hapo.
Kuita white elephant ni sawa kabisa.
 
Kenya mwaka wa uchaguzi si unailewa tu...contractor alitorokea China akisubiri uchaguzi upite kwanza...hio haimaanishi kuwa project haiendelei
 
Kenya mwaka wa uchaguzi si unailewa tu...contractor alitoroka China akisubiri uchaguzi upite kwanza...
Sasa uchaguzi umefanyika 2017 ujenzi umeanza 2014 wapi na wapi hapo? Hakuna hata mita moja juu ya ardhi. Kwikwikwikwi. Hapa unaleta matani rafiki.
 
kaulize nyanyako...alikuwa bado msichana mdogo wakati wa ujenzi...😀😀
Tuliza hasira hapa ni battle Sinza vs Nairobi. Tumeweka Jengo moja tu umeanza kutoa mapove yote haya. We need guangzhou Stabdard bro.
 
no problem....hata nikiwatolea Pinnacle, bado hamwezi mka compete na Nairobi espcially with Montave, Prism Avic etc
 
Uhuru Kenyatta laid the foundation ya Pinnacle. If that is not enough I dont know what is. Naona most of you have that bitter wishful thinking that nothing will materialise lol. Shit is about to go down here guys. Na kukaa in a salty denial inaonyesha how butthurt ABOUT Kenya you guys are.
 
Jengo liko wapi rafiki? Umeona lakini jengo la PPF HQ? Next year litakuwa tayari. Tunataka project za namna hiyo siyo project za kwenye karatasi. Pinnacle project is dead, mark my words
 
Uhuru Kenyatta laid the foundation ya Pinnacle. If that is not enough I dont know what is. Naona most of you have that bitter wishful thinking that nothing will materialise lol. Shit is about to go down here guys. Na kukaa in a salty denial inaonyesha how butthurt ABOUT Kenya you guys are.
ukiskia wameita white elphant, ni wivu wakonayo...The Pinnacle is sooo alive and kicking but jealousy is consuming them...as in, why the hell would they dig the foundation completely, call the president to officially launch it then stop its construction few months later?
 
Back
Top Bottom