Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
not funny 🙁🙁🙁 should hav kept quiet bruhKwanini njina lako badala ya COLLOH-MZII RELOADED liwe KOLO INZI LOADED?
not funny 🙁🙁🙁 should hav kept quiet bruhKwanini njina lako badala ya COLLOH-MZII RELOADED liwe KOLO INZI LOADED?
Mtu haitwi kwa majina anaitwa kwa jina. Hata kama liwe lina maneno mia litaitwa jina.
Huwezi kusema hata kwa kingereza My names is KOLO INZI LOADED utasema My name is KOLO INZI LOADED
Na kwa kiswahili hivyo hivyo utasema Jina langu ni "KOLO INZI LOADED" siyo Majina yangu ni "KOLO INZI LOADED"
Nenda shule dogo bado upo chini sana kichwani Kwikwikwikwikwi.

nani amesema inaendana?Naona umeanza kuchanganyikiwa sasa. Hii issue inaendana vipi na hii mada?
just came across this pic...had to post it...largest mall in africa ukitoa SA
![]()
Egypt na Morocco ziko Sub-Saharan Africa?😀😀😀 kisha usifananishe two rivers na huo uchafu wa sijui rock village...Duh acha kudanganya Watu mzee ..unahisi hatujui au ..that mall is 62,000sqm ..hebu katafute mall of eygpt au mall zilizoko Morocco..kwanza Rock City Mall ya mwanza is 50,000sqm imepitwa 12k sqm na hio Two Rivers
Meanwhile in Mwanza. Sisi tunazungumzia mambo yetu na ninyi issue za Zimbabwe na mambo yao zinakuwashia nini?
Egypt na Morocco ziko Sub-Saharan Africa?😀😀😀 kisha usifananishe two rives na huo uchafu wa sijui rock village...




..una njaa nn
sawa bas...ila bado tuna represent Africa ya Subsaharan pamoja na SA...wengine mnatusindikiza tuHukusema sub saharan africa umesema Africa ..au umeshndwa kusoma post zako mwenyewe..una njaa nn
About Mall of Eygpt 165000sqm
![]()
About Rockcity Mall Mwanza 50,000sqm
![]()
About Two Rivers 65,000sqm which Jay456watt claims ndo Africa’s biggest
![]()
honestly sijatazama...siwezi poteza muda wangu bure...niletee light rail project au project ingine ya maana nitatazama mpaka mwisho hata iwe ni ya 2 hrs...je, umetazama mpaka mwisho?
huo no uvivu sasa au wivu. Najua nyie wakenya mnawivu sana na Tanzania. Naona wivu wako hapa unauonesha. Sasa video hujaitazama uba quote nini kama siyo upungufu wa nati kichwani?honestly sijatazama...siwezi poteza muda wangu bure...niletee light rail project au project ingine ya maana nitatazama mpaka mwisho hata iwe ni ya 2 hrs...
Tuletee render ya light rail naisubiri😀😀😀😀honestly sijatazama...siwezi poteza muda wangu bure...niletee light rail project au project ingine ya maana nitatazama mpaka mwisho hata iwe ni ya 2 hrs...
nimekwambia project za kipumbavu siwez tazama...itakua kupoteza muda wangu...wivu? la hasha...hatuwez tukawaskilia nchi tuliyoishinda kimaendeleo wivu...wivu yangu huwa naielekeza kwa nchi zilizoendeleahuo no uvivu sasa au wivu. Najua nyie wakenya mnawivu sana na Tanzania. Naona wivu wako hapa unauonesha. Sasa video hujaitazama uba quote nini kama siyo upungufu wa nati kichwani?
render ikitoka nitaleta..subiriTuletee render ya light rail naisubiri😀😀😀😀
Hilo ni povu sasa. Ni dalili katika kiwango cha juu cha wivu. Wakenya mna wivu sana mkizidiwa mnaanza kulia lia na kususa kama wanawake wenye mimba kwikwikwikw...nimekwambia project za kipumbavu siwez tazama...itakua kupoteza muda wangu...