Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

100T transfomer handled by a Kenyan company on its way from Port of Mombasa to DRC Congo
View attachment 2795126
Hii number ni ya Kenya? 😂😂😂
Eti DRC
Screenshot_20231028-062952.jpg
 
Lakini mara ingine ichoboy01 huchekesha. Sasa hizo nini unapost!?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hizo vitu umepost unanoana kabisa zilinganishwe na hapa!? Do you even see open mitaros with falling electric power posts!?
View attachment 2795051View attachment 2795053View attachment 2795054View attachment 2795056
Mm niko serious mzee ukipata street kama hzi mombasa za level hzi nitag mm nifunge acc wala sitanii najijua mwanza na pia naijua mombasa haya twende kazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Lakini mara ingine ichoboy01 huchekesha. Sasa hizo nini unapost!?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hizo vitu umepost unanoana kabisa zilinganishwe na hapa!? Do you even see open mitaros with falling electric power posts!?
View attachment 2795051View attachment 2795053View attachment 2795054View attachment 2795056

Kwamba kilaza Ichoboy analazimisha kufananisha barara kama hii ya Nyali
Screenshot_2023-10-27-08-30-01-26_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329_2.jpg

Na huu uchafu wa Mwanza yenye nguzo za stima zilizooza🤣🤣
20221225_180753_HDR.jpg
 
Kwamba kilaza Ichoboy analazimisha kufananisha barara kama hii ya Nyali
View attachment 2795312
Na huu uchafu wa Mwanza yenye nguzo za stima zilizooza🤣🤣View attachment 2795314
👇👇👇👇👇👇👇 msaidie mwenzako kutoka kwenye janga hili nasubiri mtu aniletee street za level hzi nifunge acc sasa hvi🤣🤣
 
Back
Top Bottom