Onyesha stadium kama hiyo Mwanza tu ama Arusha.., yaani stadium ya County ya Kakamega ambayo iko under construction hamna kwenye vijiji vyenu mnazo zitaja eti ni city.., kama iko onyesha tuone..,
uwanja bado uko under construction by a county government, sio serikali kuu, county!, ili host inter school National football games..,
Watu wa City moja yenye CBD moja na Stadium moja hawaniambii kitu humu.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2791455
View attachment 2791458
View attachment 2791456
View attachment 2791457
Yaani uwanja bado unajengwa na mshaanza kulia lia., 😂😂😂😂😂😂😂