Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So hili povu lilikuwa la nini!
So now zinafanana!

Tofauti yako na kondoo ni harufu tu.
View attachment 2794637
Mombasa sio Dar ama vijiji vyenu mnataja eti ni city, Benjamin Mkapa stadium moja Tanzania yote imewafanya mnadhani mko na viwango ilhali bado sana 😂 😂 😂 😂 , akina Cameroon, Zambia na Togo mataifa fukara size yenu wanazo zaidi kueni wapole, jikubali mlivyo.., nyie bado under weight..., ligi ya nyumbani imewafumba macho..,
1698417249187.png

1698417260455.png
 
Hii Ena hebu ipumzisheni tukiongelea buses lazima ena iwepo, by the way green park ultra modern bus terminus 🤣🤣🤣View attachment 2794440
Kuna mmoja aliwahi kusema eti hiyo Nairobi ultra modern green terminus eti ni one of its kind in sub Saharan Africa nitaenda nione kama ni kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Seeing this is so soothing 🤗
Tanzania is really industrializing, most industries in China are in backyard scale like this, hakuna haja ya kuuza raw materials, serikali itoe incentives kwa small scale processors na banks zitoe grants ajira zizalishwe, ulaya mtu kama huyu hapewi commercial loan bali concessional loans/grants with zero interest


View: https://vm.tiktok.com/ZMjpHQehq/
 
Back
Top Bottom