The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Kenya ni mavi bro π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hivi hayo maghorofa yao ni vipi? Waligombana na madirisha au tuseme huko ni baridi sana mpaka wanaweka madirisha ya namna hiyo?!
Yapo low quality sana na mazingira ni machafu mno.
Over 70% ya wakazi wa Nairobi ni slum dwellers, hawaongopi ni kweli kabisa, kibera alone accomodates more than 2.5mil slum dwellers, Kenya 90% ya wanaokaa kwenye nyumba nzr pale nairobi ni foreigners, hawa wengine pangu pakavu tia mchuzi ndio wanaishi kwenye maghorofa ya udongo kama alivyopost Shebby01 mkuu Kenya ni hovyo zaidi ya unavyojua, vijana wengi wa kikenya wanaona ni bora wasepe nchi jirani kujikwamua na umaskini wa kutisha huko kwao. No future in Kenya.KIbera is located just five kilometres from Kenyaβs vibrant capital Nairobi, Kibera is the world's third-largest slum. Roughly one million residents live in Kibera (forming one-fifth of Nairobiβs population), where overcrowded shacks, poor sanitation, and poverty is widespread and municipal officials have traditionally ignored the community##Hivi hii ina ukweli au jamaa tu wana chuki na mji wa Nairobi...?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Alafu hawa jamaa kwnn mazingira yao machafu hivi? Yani Kenya nzima ni kuchafu mpk CBD ni hivi hivi, alafu hii nchi ndio iwe East Afrika power house si tutakuwa hatuna akili kabisa ukanda huu π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Aisee hata mtu mwenye maisha ya chini bongo hawezi aka kaa environment ya hivyo hawa jamaa ni failed state kabisa!Over 70% ya wakazi wa Nairobi ni slum dwellers, hawaongopi ni kweli kabisa, kibera alone accomodates more than 2.5mil slum dwellers, Kenya 90% ya wanaokaa kwenye nyumba nzr pale nairobi ni foreigners, hawa wengine pangu pakavu tia mchuzi ndio wanaishi kwenye maghorofa ya udongo kama alivyopost Shebby01 mkuu Kenya ni hovyo zaidi ya unavyojua, vijana wengi wa kikenya wanaona ni bora wasepe nchi jirani kujikwamua na umaskini wa kutisha huko kwao. No future in Kenya.
Ni kweli ukifika utaelewa hali halisi ya residents wa kibra na maeneo mengi nairobiKIbera is located just five kilometres from Kenyaβs vibrant capital Nairobi, Kibera is the world's third-largest slum. Roughly one million residents live in Kibera (forming one-fifth of Nairobiβs population), where overcrowded shacks, poor sanitation, and poverty is widespread and municipal officials have traditionally ignored the community##Hivi hii ina ukweli au jamaa tu wana chuki na mji wa Nairobi...?
Vitu vyao kwenye ujenzi viko low quality.. so wakiweka madirisha makubwa wanapunguza stability ya majengo πHivi hayo maghorofa yao ni vipi? Waligombana na madirisha au tuseme huko ni baridi sana mpaka wanaweka madirisha ya namna hiyo?!
Yapo low quality sana na mazingira ni machafu mno.
Hili pia wataliacha lipiteπWe kima wa chini acha kujitoa ufaham hii hapa nimepiga tena kwa simu yangu πππππwengine tupo ground tunawasikilizia ma professor wa uongo ππ
Muwe mnawadanganya ambao hawajafika kunyaland.
Kwenye issue ya usafiri wa mabasi Tanzania inaongoza.
View attachment 2792108View attachment 2792109View attachment 2792111View attachment 2792112View attachment 2792113
Hivi wewe ushawai fika Nairobi ama ni domo domo tu?Over 70% ya wakazi wa Nairobi ni slum dwellers, hawaongopi ni kweli kabisa, kibera alone accomodates more than 2.5mil slum dwellers, Kenya 90% ya wanaokaa kwenye nyumba nzr pale nairobi ni foreigners, hawa wengine pangu pakavu tia mchuzi ndio wanaishi kwenye maghorofa ya udongo kama alivyopost Shebby01 mkuu Kenya ni hovyo zaidi ya unavyojua, vijana wengi wa kikenya wanaona ni bora wasepe nchi jirani kujikwamua na umaskini wa kutisha huko kwao. No future in Kenya.
Sasa nyumba low quality utawekaje madirisha makubwa!Hivi hayo maghorofa yao ni vipi? Waligombana na madirisha au tuseme huko ni baridi sana mpaka wanaweka madirisha ya namna hiyo?!
Yapo low quality sana na mazingira ni machafu mno.
Dah hayo mazingira hadi kichefuchefu pindipindu litaondoka kweli mji huu.We kima wa chini acha kujitoa ufaham hii hapa nimepiga tena kwa simu yangu πππππwengine tupo ground tunawasikilizia ma professor wa uongo ππ
Muwe mnawadanganya ambao hawajafika kunyaland.
Kwenye issue ya usafiri wa mabasi Tanzania inaongoza.
View attachment 2792108View attachment 2792109View attachment 2792111View attachment 2792112View attachment 2792113
unatulazimisha tuwe na marafiki wa kibepari wakati wajamaa wenzetu tulikuwa nao toka kitambo bega kwa bega acha tuwaungishe standard zao zimekuwa well huyo mmarekani tuu kaenda kjifunza namna ev zinavyozalishwa kwa wingi.Mauchafu ugly za china , sijui yutong ,zhongtong !!
Vitu after 2 yrs zinafanana takataka.
Sauli pekee ndio wako na mabasi za adabu TZ..
Tahmeed pia ukiondoa Chinese zao.
Doctored JIDIPII is spiralling out of controlHii Nchi inazidi kufirisika ππππ
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1717067214782878029?t=mzvI6WeRIMMAaSxjSq2FJQ&s=19
Mkuu ukiwa huko kwenye viunga vyao huwa wanahara humu wanajua utarusha picha halisi zisizopigwa upande upande wala make upMkuu sema time kidogo ila nawapa ahadi nita twanga mafoto nyie muone na ahadi ya the The best 007 kuwa picha utazipata πππππ
Kuna nn, kuna treni ya umeme? Kuna BRT? Hakuna ma slums? Sio kuchafu? Kuna nn kwa mfano?Hivi wewe ushawai fika Nairobi ama ni domo domo tu?
Mkuu nasubiria nimalizie issue ninayo ifanya picha nitaachia humuπ€£π€£π€£π€£π€£huwa wakiongea nawa zoom kwa umbaliππππMkuu ukiwa huko kwenye viunga vyao huwa wanahara humu wanajua utarusha picha halisi zisizopigwa upande upande wala make up