Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Waache waendelee kupromote ligi ya Mzungu EPL hadi jina wanacopy ifananefanane, huo ulimbukeni ukija kuwaisha wote tayari ni washabiki wa timu za Bongo ambazo zitakuwa zinang’aa dunia nzima. Love your own niggaz!! Shenzi kabisa wanatuaibisha na uzungu feki.Reactions za wakenya wanaojua kuishi na ukweli 👇👇View attachment 2791116View attachment 2791117View attachment 2791118
Hela ya chaki (lipstick) na vibasi vitatu vya demo eti unasema una BRT, nyooo😂😂Ndio hii tunasemaga kila siku, NI SYSTEM, sio kama vitu vipo tu kimchongo mchongo, Watanzania wanapenda mpira, wana team, wana viwanja, na wana hela wamewekeza kwenye mpira, kwa hiyo kila kitu kinajipa kinakuwa mahala pake kwa kuwa kimekua arranged vizuri, angalia Tickets zinakua sold out, kama BRT vile vile ni system, kuna infrastructure, kuna Buses, Kuna investment , Huwezi kuwa na kimoja tu ukasema na wewe una BRT, Namaanisha huwezi kuwa na hela ya chaki tu ukachora barabarani BRT ONLY basi na wewe ukawa sawa na mwenye BRT 🤣🤣🤣🤣
Mechi ikiisha hua wanaingia mifugo na wakulima kuendelea na shughuli zao 🤣🤣Huu uwanja wa wazungu hawa, pale pembeni wanaweza lima mazao ya chakula na biashara pia wanaweza fuga mifugo aina yote 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Labda ishinde na njaa😅😅😅😅Wacha niende zangu nimalize kuona mechi ya Simba na Al Ahly.., Simba lazime ashinde.., utani kando., ndio team yangu tokea zamani kabla nijue kuna jamii forums.., entertainmnent zone..,
Si bora hao wamekufa kiume nyinyi hua munakufa vifo gaani labda vifo vya kishoga🤣Wazee wa uwanja mmoja washa tombw.aView attachment 2791524
Pamoja na Simba kutoka ana uhakika wa bilioni 2.5 ya kushiriki. 😂😂😂Si bora hao wamekufa kiume nyinyi hua munakufa vifo gaani labda vifo vya kishoga🤣
Kama mamtoni mwanangu 😍😍😘😍❤️🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
JNIA kama sokoni mwanangu 😍😍🥰❤️🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
We unaonekana kabisa maisha yamekupiga sana, mana una hasira mda wote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mauchafu ugly za china , sijui yutong ,zhongtong !!
Vitu after 2 yrs zinafanana takataka.
Sauli pekee ndio wako na mabasi za adabu TZ..
Tahmeed pia ukiondoa Chinese zao.