Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitoa Benjamin mkapa mna nini unaweza leta kwenye meza tubishane Kama hakuna tutatumia hizo hizo za CCM Kama hupendi kafie mbali
Kunyan mkiona vitu kama hivi mnajikatia tamaa kabisa kuandaa afcon 2027,imagine hii match ni timu ya congo na tunisia,angalia watanzania walivyojaa uwanjani,CAF sio wajinga kiasi iko eti kunyamavi mpewe match ya ufunguzi na fainali 😂,kunyamavi mpimwe mkojo maana hamna akili
 

Attachments

  • 1818854851.mp4
    21.2 MB
Kiswahili asili yake Kenya wee bwege. Soma historia.
UK- english ni asili yao na wanaongea poa
CHINA-kichina ni lugha asili yao pia wanaiongea poa
RUSSIA-kirussia ni asili yao wanakiongea poa
INDIA-hawa nao wanaongea lugha yao poa

Na nchi nyinginezo zenye asili za lugha wanazungumza vyema,swali la msingi
Je why kenya yenye asili ya kiswahili inashindwa kuzungumza kiswahili vyema?
Hauoni kuwa mnamatatizo ya kiakili,kifikra mpaka kimwili?
 
Nikupe taswira. Hata kama viwango vya hivi viwanja haifikii kimataifa, but at least.... tunamwanzo. Rénovation kidogo tu na ndio hivo. Viwanja vinavyo weza kutumika.
CECAFA U18 INAKUJA Kisumu na itatumia, Kenyatta, HomaBay, n'a Moi.

1. KASARANI
View attachment 2789570
2. NYAYO
View attachment 2789571
3. ULINZI
View attachment 2789582
4. HomaBay
View attachment 2789585
5.BUKHUNGUView attachment 2789586
6. DANDORAView attachment 2789588
7. NAROKView attachment 2789590
8. KIRINGITI View attachment 2789593
9. KINORU
View attachment 2789592
10. NYAMIRA
View attachment 2789595

12. NYERIK

Endeleeni kupiga picha na kujifurahisha kwa ubora wa picha,
Wale jamaa wakija huwa hawaangalii picha wanadeal na basic things kwa ground kukidhi kwa vuwango na vigezo ndiyo maana mnaloose
 
L'ami zonatandazwa kila kona huku Kenya
20231023_000017.jpg
 
Back
Top Bottom