chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,312
- 45,112
90% ya wakenya hawawezi kuhesabu 1 mpaka 200 kwa kiswahili hata spika wenu wa bunge alishindwa kusoma tarakimuEbu soma post yangu uelewe.
90% ya wakenya hawawezi kuhesabu 1 mpaka 200 kwa kiswahili hata spika wenu wa bunge alishindwa kusoma tarakimuEbu soma post yangu uelewe.
Watanzania 60m wanatumia 'R' na 'L' interchangeably90% ya wakenya hawawezi kuhesabu 1 mpaka 200 kwa kiswahili hata spika wenu wa bunge alishindwa kusoma tarakimu
Kunyan atuwaachi mpumue now vijana wazalendo wanawafuata huko huko kwenu kuonyesha maisha yenu halisi tunawaalika na nyinyi mje TZ muonyeshe kama kuna Watanzania wanaishi maisha kama mnayoishi wazee wa kufake maisha 😂😂L'ami zonatandazwa kila kona huku Kenya
View attachment 2789706
Kama Wakikuyu vile? Unamkuta the whole CEO wa Equity Bank anaongea gibberish!Watanzania 60m wanatumia 'R' na 'L' interchangeably
Na imagine ni CEO wa Equity. Hapo kwenu CEO wa bank kubwa Zaidi lazima awe Mzungu, Mwarabu, Mhindi, Msauzi ama Mkenya.😂Kama Wakikuyu vile? Unamkuta the whole CEO wa Equity Bank anaongea gibberish!
60m in your wet dreams! The same applies to wakikuyu and all Kenyans ila wenyewe badala ya kusema mbingu wanasema bingu badala ya ngamia wanasema gamia badala ya kusema njia wanasema Jia 🚮🚮Watanzania 60m wanatumia 'R' na 'L' interchangeably
Yeah kweli hawa wote hakuna mbongo wote wakundustan hapa!Na imagine ni CEO wa Equity. Hapo kwenu CEO wa bank kubwa Zaidi lazima awe Mzungu, Mwarabu, Mhindi, Msauzi ama Mkenya.😂
Haina shida yoyote 🤣🤣🤣🤣🤣Ina shida gani!!
View attachment 2789850
Hiyo nauli ya kutoka Kibera mpk Dar ataitoa wapi.Kunyan atuwaachi mpumue now vijana wazalendo wanawafuata huko huko kwenu kuonyesha maisha yenu halisi tunawaalika na nyinyi mje TZ muonyeshe kama kuna Watanzania wanaishi maisha kama mnayoishi wazee wa kufake maisha 😂😂
Hizo profit zote combined hazifikii za Equity.
wapi wale wapuuzi wa Kikenya wanaodai Benki zao zina-dominate Tanzania?
leta evidence net profit ya Equity Bank!Hizo profit zote combined hazifikii za Equity.
Gear changed! 😂😂😂Hizo profit zote combined hazifikii za Equity.
Equity ipi? Hicho kikoba?Hizo profit zote combined hazifikii za Equity.
Kule tiktok vijana wamewaamulia kunyan maana walikua wanawaletea ujinga 😂Hiyo nauli ya kutoka Kibera mpk Dar ataitoa wapi.