Mm nataka unioneshe ushahidi kua mkopo wa covid ulipatikana bila riba nikuoneshe chura mwenye kalio moja sasa hvi🤣🤣🤣Serikali ilishaeleza mar nyingi san kwamba riba ilifutwa na utalipwa baada ya miaka 30 pesa kama pesa.
Wewe ni Moja ya hao Watanzania wajinga,hua siongeo jambo ambao Sina uhakika nalo elewa hivyo.Mm nataka unioneshe ushahidi kua mkopo wa covid ulipatikana bila riba nikuoneshe chura mwenye kalio moja sasa hvi🤣🤣🤣
Hakuna mtanzania mjinga sasa hvi nilishakwambia hope unakumbuka maneno yangu
😅😅😅 Eti waje kulima Tanzania mazao ya kutosha kuwalisha, watanzania wenyewe wakiwa wapi? Hilo shamba mtanzania yupi atakukodishia aone unafaidika tu yeye anapokea tu pesa ya Pango? 🤣 Ukikodi tu fremu kwa mbongo ukaweka biashara yako akaona unauza sana mkataba ukiisha anakutimua anaweka hiyo hiyo biashara yeye mwenyewe, ndio akukoshie mahekari? Hawa mazuzu hawajawafahamu wabongo bado 😅😅Wakunyavuzi hawataki kukubali ubora wetu ndio maana kila kwenye mafanikio yetu uwa wanajipenyeza,walivyo wajinga wanajua chakula tunawauzia wao tu,githeri na chang'aa zimewaharibu akili
Mkenya hata chupi huazima!Halaf wakuu zile gari walizokua wanapost jana wakidai zakwao ndio hiz hapa, kiufupi ni za kukodi kwaajili ya kupiga round na kupiga picha halaf zinarud kwao shwaa..😅
View attachment 2789041
View attachment 2789043
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni Moja ya hao Watanzania wajinga,hua siongeo jambo ambao Sina uhakika nalo elewa hivyo.
View: https://youtu.be/9XIEOAawXI4?si=cjgMDXIyLMznEz71
Umeumbuka ,Uliza jingine🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mazuzu hiyo kwenda kununulia shambani tu wamepigwa stop,kunyavuzi akili hawana😅😅😅 Eti waje kulima Tanzania mazao ya kutosha kuwalisha, watanzania wenyewe wakiwa wapi? Hilo shamba mtanzania yupi atakukodishia aone unafaidika tu yeye anapokea tu pesa ya Pango? 🤣 Ukikodi tu fremu kwa mbongo ukaweka biashara yako akaona unauza sana mkataba ukiisha anakutimua anaweka hiyo hiyo biashara yeye mwenyewe, ndio akukoshie mahekari? Hawa mazuzu hawajawafahamu wabongo bado 😅😅
Mtu wa Mama huyu wametoka mbali sana huko Bunge la Katiba 😆😆
Amefanya hivi kwa maelekezo maalum ili kufifisha debate ya mkataba wa DP world isiende viralMtu wa Mama huyu wametoka mbali sana huko Bunge la Katiba 😆😆
Halafu huyu nyang'au Kimbg anadai eti uwanja haukujaa😁😁
Mm nimeumbuka au sio?🤣🤣🤣Umeumbuka ,Uliza jingine
Inatumia solar?
Niliwaambia kitu kikianza kuitwa Green ni utapeliHii ndio green kericho stadium hvi mulilaaniwa na nani nyinyi mbwa ??🤣🤣🤣🤣🤣🤣kaaaahhh
View: https://twitter.com/MakauWaMuli/status/1715778751517077578?t=KxCYZYjldMdcQaJ4Si_qDw&s=19
View: https://twitter.com/karoba_john/status/1715662873718858068?t=k_rxtp5M1ZgZliTpFIa6_w&s=19
Watu wanakalia zege ??🤣🤣🤣 2023Inatumia solar?
Hii ndio kitu ya 650m ksh sawa na 11.7b tsh