Sasa hiyo picha ilichukuliwa muda gani? Weka picha ya wakati muafaka tuone kama uwanja haukujaa😁😁😁Kwani we huoni!?
View attachment 2787926
Akijibu nitag mm nifunge acc 🤣🤣🤣Malisaaaa huyo mwarabu bandia. 😂😂😂😂
Kuna mtu jana sijui juzi alipost pic ya uwanja wa kericho green stadium kwa nje. Nataka kuuliza ndo huu au kuna kericho green stadium mwingine?
View: https://twitter.com/gabrieloguda/status/1715343488479301904?t=H-qLfiq10D1DXdD_-f3OYg&s=19
Kuna vijijengo wakundustan wamekua wakijiboost navyo sana recently, hawajui kwa Dar vimejaa kila chocho
View: https://vm.tiktok.com/ZMjVqNymT/
Kwani humu tumo kula githeri?Why are all Tanzanians always comparing themselves to Kenya though?😂😂
Sama boy 255 huyu mpuuzi anataka kuoneshwa VAR ikitumika kabla ya Simba na Al ahly, hebu muweke sawa kdg ili atambue sisi tulitangulia kabla yao🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo VAR ni mali ya CAF kijana wa Tandale. Kama imekuwa happ all this time mbona hamjawahi leta picha humu tuone
Unatuletea uchuro sasa.Team bado papatu papatu wachezaji wanaruka ruka tu uwanjani huyo chama munaemtegemea anapotez mipira ovyo🤣
Sasa munaenda kwao mukiwa na mlima wa magoli 2+ kule ndio mutajamba cheche sasa
Mradi mmoja tu wa jnhpp unamalizana na vimiradi vyenu vyote na bado chenji inabaki, isitoshe nyie vimiradi vyenu vya $100,000 za mchina ndiyo ufananishe na mradi wa billions of dollars pesa za ndani?Miradi ya tangia megafoool huko hai ndio unaitwa mpya, miradi ya Uhuru utayaweza tukuhesabie?
Kuna Green park ultra modern bus terminus 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukisha sikia kitu kina “green” Mara renewable energy ujue ni wizi au utapeli
Aliyewaloga kafa zamani sanaKuna Green park ultra modern bus terminus 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2788220
Where is yours?A cargo plane in Tanzania
View attachment 2787536
A cargo plane in Kenya
View attachment 2787538View attachment 2787539
Sindio ukweli au hamtaki ukweli🤣🤣🤣Unatuletea uchuro sasa.