Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
U might be right mkuu ila ingekua vizuri issue kama mkadiscuss kule jukwaa la siasa hapa ni battle between TZ na kunyalazyMmeingia mkataba usio na ukomo 'no expiration date' na hauna vifungu 'clauses' zozote za kuuvunja huo mkataba.
Apart from 'mutual agreement', unavunja vipi mkataba wa aina hii mahakamani kwa mujibu wa sheria?