Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Btw, hii render bado wanaipost humu ama walishachoka?🤣🤣
Ni nani anapost hiyo render au when was the last time umeona kuna mtu kapost hiyo render.? 🤣🤣🤣 Unafkiria sisi ni nyinyi wenye u have nothing to show kila siku mnapost render and express way.?
 
Unalinganisha vipi pangani interchange na Ubungo interchange mzee.? Kwanza huko kwenu kunakaa vumbi mtindo mmoja.
Bongolala, angalia mazingira ya pembeni kama alvyokusudia mwenzako. Unaona yanafanana? Moja Kuna uswazi pembezoni nyingine kuna planning ya makazi na nyumba za maana pembezoni. Dar bado sana Kwa Nairobi bongolala
 
Bongolala, angalia mazingira ya pembeni kama alvyokusudia mwenzako. Unaona yanafanana? Moja Kuna uswazi pembezoni nyingine kuna planning ya makazi na nyumba za maana pembezoni. Dar bado sana Kwa Nairobi bongolala
Mjogomba heb cheki mazingira yanayozunguka Ubungo interchange,👇 and by the way. It's 13km away from CBD
FHm8jWzWQAAHUnX.jpg
kusho na kulia kote ni mitambo ya umeme tu, kule ni BRT depot, TBS na incoming EA's biggest mall U/C .. kushoto juu ndio mini uswazi.. kwa umbali huu ni better than hiyo takataka ya pangani in the middle of the city+ vumbi jekunde all around.
 
Sasa mjomba hapa nini cha ajabu ulichopost chenye unadhani Tz hakuna.?
 
Waacheni wapost hizo ghorofa za 20 floors zinazojengwa eastleigh n.k while TZ ghorofa km hizo zinajengwa nje ya mji kama mbezi beach,mbweni n k maana hawana miradi ya maana ya kuipost,imagine kunyalazy ndio wangekua kwenye miradi ya mwendokasi phase 2,3 na 4 na mradi wa bwawa la nyerere jf server ingejaa vipicha vya hiyo miradi
Onesha gorofa moja tu Mbezi yenye 20 floors.
 
Back
Top Bottom