Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ghost aje?
Rugby league is strong remember,.that's the main point why inajengwa mostly
Ikiwa kauwanja kenu kasarani kana uwezo wa kuingiza watu 40k tu waliokaa kwenye hizo cement na haujai hata ikichezwa derby, je uwanja wa 60k spectators mtaujaza lini?
 
Sasa kwaakili yako finyu,kila mtu akisema apost ujenzi unaoendelea kwenye nchi yake ama jiji unadhani kutatosha humu,
Au unahisi mnaojenga ni nyie pekee,wacha kujifurahisha kwa kupoteza mda
Waacheni wapost hizo ghorofa za 20 floors zinazojengwa eastleigh n.k while TZ ghorofa km hizo zinajengwa nje ya mji kama mbezi beach,mbweni n k maana hawana miradi ya maana ya kuipost,imagine kunyalazy ndio wangekua kwenye miradi ya mwendokasi phase 2,3 na 4 na mradi wa bwawa la nyerere jf server ingejaa vipicha vya hiyo miradi
 

Attachments

  • Screenshot_20231015-230001_Facebook.jpg
    Screenshot_20231015-230001_Facebook.jpg
    94 KB · Views: 7
Anyways mimi ni moja kati ya waumini wakubwa wanaopenda kujua nini kinaendelea katika nchi zingine Africa, juzi nikaiona hii South-North Algerian highway 6 lanes road with the total length of 2000km .. it includes tunnel which stretches 9.6 km and 2.9km road bridge. 👇View attachment 2783080View attachment 2783081View attachment 2783082View attachment 2783084.. kuna vinchi nadhani visubiri tu gidipii iwataje above others lakini ni ukweli kwamba havijiwezi. 🤣🤣
Inferiority complex kwa waarabu inaziba macho yako manake sioni kitu cha maana.
 
Vumbi Nation, always jua kali. Hamjawahi kujenga kitu perfect kisicho na kaujuakali pembeni yake.
Bongolala, kati ya hiyo Pangani interchange unayokejeli na hii hapa iliyo na uswazi ni gani kana kaujuakali pembeni?
1812838225.jpg


Pangani interchange
20231014_144942.jpg


Angalia aina ya mpangilio na nyumba zinazozingira hizo barabara mbili kisha tupe jibu
 
Bongolala, kati ya hiyo Pangani interchange unayokejeli na hii hapa iliyo na uswazi ni gani kana kaujuakali pembeni?View attachment 2783246

Pangani interchangeView attachment 2783250

Angalia aina ya mpangilio na nyumba zinazozingira hizo barabara mbili kisha tupe jibu
Unalinganisha vipi pangani interchange na Ubungo interchange mzee.? Kwanza huko kwenu kunakaa vumbi mtindo mmoja.
 
Back
Top Bottom