Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili dormitory nataka render yake nithaminishe value of money and value of render
Dormitory nyingine hii ya 20+ floors under construction. Don't even know its name 🤣🤣🤣🤣

1697343886382.png
 
Tunajenga nchi yetu bila kelele wala majigambo wakija kustuka tumewaacha mbali mno, tunajenga miundombinu bora nchi nzima ikiwemo the best public transport infrastructures like BRT, modern bridges, electrified railway, modern bus terminals, interchanges, flyovers, modern airports, modern stadiums etc etc....

Mm nawaambia hii AFCON ndiyo itaonesha Tanzania ni nani Africa kwa sasa, nyie subirini muone. Kwanza picha litaanzia pale airport, abiria akishuka tu anakutana na miundombinu bora kabisa, dk 0 yupo town, then kama timu yake ya taifa ipo kituo cha Dodoma ataamua apande nyoka wa umeme au apande tena ndege, na akifika Dodoma anakutana na mazingira ambayo huenda kwao hajawahi kuyaona. Au akienda Arusha anakutana na mazingira matamu kabisa ambayo huenda kwao hakuna, so serikali ijipange kweli kweli mana wahamiaji haramu wataongezeka sana nchi hii after AFCON mana watu watagoma kurudi kwao.
🔥🔥🔥
 
The units are already sold out yet construction has just began, despite the tough economic times 😂😂😂. Kenyans have plenty of money

View attachment 2782318
Kumbe unajua kwamba mpo kwenye hali mbaya especially nyinyi wakenya weusi ambao 99% ni makajambani, hao wanao rent au kununua hizo units sio wakenya, hao ni foreigners.

Nchi lenu liliharibiwa na ukoo wa Kenyatta kitambo na ndiyo maana unakuta mkenya kama wewe mna hali mbaya sana wakati foreigners na wakenya wenye asili ya Somalia wanajenga tu hayo ma apartments na kuyauza kwa foreigners na wakenya weupe, nyie pangu pakavu tia mchuzi mtaendelea kuishi Kibera, babandogo, Mathare, pipeline etc etc. Gape btn rich and poor is so huge and keeps widening kila uchwao, inshort No future in Kenya.
 
Majengo yanajegwa mengi sana hata hatujui majina yao. Tafuta footage ya Kilimani, Eastleigh, Westlands, South C, Pangani nk ujionee. Tukianza kuweka every 20+ floor building that is under construction we will clog the servers of this website
Sasa ni nchi gani ambapo majengo hayajengwi, yani unakesha kupost ka project ka 100,000$ kweli? Alafu unaweka picha ya kajengo kamoja unahamia kingine, kama ndiyo hivyo basi hata Somalia yuko vizuri mana hata kule vijengo kama hivyo vinajengwa. Sisi tunaweka projects za bil $ nyie mnaweka vijengo kamoja kamoja, tutafika kweli kwa style hiyo?
 
Kumbe unajua kwamba mpo kwenye hali mbaya especially nyinyi wakenya weusi ambao 99% ni makajambani, hao wanao rent au kununua hizo units sio wakenya, hao ni foreigners.

Nchi lenu liliharibiwa na ukoo wa Kenyatta kitambo na ndiyo maana unakuta mkenya kama wewe mna hali mbaya sana wakati foreigners na wakenya wenye asili ya Somalia wanajenga tu hayo ma apartments na kuyauza kwa foreigners na wakenya weupe, nyie pangu pakavu tia mchuzi mtaendelea kuishi Kibera, babandogo, Mathare, pipeline etc etc. Gape btn rich and poor is so huge and keeps widening kila uchwao, inshort No future in Kenya.
Wewe ni mavi tu. Hayo majengo yanajengwa killa mahali hii Nairobi. Everywhere kuna ujenzi ya highrise apartments, hata huko Pipeline, Kibera, Mukuru, Shauri Moyo. Kuja hapa baada ya miaka miwili halafu uongee hayo mavi unayosema. Ama mnaskia wivu eti foreigners wanajenga huku wala hawataki kuja kujenga huko kwenu? 😂😂😂😂 Most of those buildings are owned by Kenyans na hata hao unaita Somali they are Kenyans. Meza wembe ukitaka. The poorest people in Kenya are wealthier than the average middle class in Tz
 
Back
Top Bottom