Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujuaji wako unakosa logic always! Ile ni investment ambayo ina nafasi ya kurudisha fedha! Kinondoni wamejenga Bus stand na uwanja wa mpira! Temeke wanajenga hotel! Endelea kupiga kelele!
Huoni mradi huu ukitekelezwa mbugani kama serengeti/ngorongoro ndio ingekuwa na nafasi ya kufanya vizuri zaidi?

Huu mradi ni upigaji! Magufuli alikuwa sahihi kuupiga stop.
 
Huoni mradi huu ukitekelezwa mbugani kama serengeti/ngorongoro ndio ingekuwa na nafasi ya kufanya vizuri zaidi?

Huu mradi ni upigaji! Magufuli alikuwa sahihi kuupiga stop.
How, why not walk me through the steps?

Obvious huu mradi kuna upigaji. Hizi ndio golden opportunity za upigaji.
Ujinga umekujaa,Dodoma City wamejenga 5 Star Hotel Kwa hiyo pale ni mbugani? Hailipi?

Mwendazake na Biashara wapi na wapi?
 
Huoni mradi huu ukitekelezwa mbugani kama serengeti/ngorongoro ndio ingekuwa na nafasi ya kufanya vizuri zaidi?

Huu mradi ni upigaji! Magufuli alikuwa sahihi kuupiga stop.
hiyo hotel taget group ni sports persons na traders wanaokuja kwenye sports na exhibition viwanja vya sabasaba (vile viwanja havina maonyesho siku za sabasaba tu) na bandarini! Kule twitter unaandika ujinga sana! Zile hoteli za Magufuli Chato, nani analala sasa?
 
Reborn Ktb ngoja nikurahisishie kàzi .. hii hapa kasarani stadium . Hiyo 60k capacity umeijuaje.? Au umeakisi tu.? 🤣🤣🤣 Ona vile mnakaa kwenye concrete 👇View attachment 2774956🤣🤣🤣 ukiskia uwanja una 60k sits this is what we mean 👇View attachment 2774958View attachment 2774959View attachment 2774960sio hako kakiwanja kenu kadunchu kenye watu wanakalia zege halafu mnafanya guess work ati 60k people capacity 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Renovation zilianza, huko juu kumewekwa viti standards bado hizo chini zigeuzwe
IMG_20231008_085559.jpg
IMG_20231008_085457.jpg
 
Benjamin mkapa 60,000
Zanzibar stadium 15,000
Dodoma stadium 30,000
Arusha stadium 30,000

Ww hapo unajiskiaje 🤣🤣🤣🤣🤣

So far viwanja vilikubalika na FIFA ni viwili east africa do u know them???😅😅😅😅
Yet zimezingirwa na dream houses,aibuuuu!!!!
 
Hii michuano tutaandaa pekeetu, tuna viwanja viwili mpaka sasa ambavyo ni approved na tunajenga vingine viwili kule Dodoma na Arusha, viwanja vya mazoezi tunavyo vya kutosha, nyie wanuka njaa na Uganda hamuwezi hii maneno.
Jk park peke yake timu 3 zinaweza kufanya mazoezi pale,azam complex timu 2 zinaweza kufanya mazoezi na hata uhuru timu 2 inaweza kufanya mazoezi,karume pia,so dar peke yake ina uwezo wa kuhost group 2 na timu na 8 zikafanya mazoezi kwenye viwanja tofauti 8 kwa wakati mmoja
 
Kasarani Iko na viti uwanja. Mzima since 2022
You are behind news.
Reborn Ktb ngoja nikurahisishie kàzi .. hii hapa kasarani stadium . Hiyo 60k capacity umeijuaje.? Au umeakisi tu.? 🤣🤣🤣 Ona vile mnakaa kwenye concrete 👇View attachment 2774956🤣🤣🤣 ukiskia uwanja una 60k sits this is what we mean 👇View attachment 2774958View attachment 2774959View attachment 2774960sio hako kakiwanja kenu kadunchu kenye watu wanakalia zege halafu mnafanya guess work ati 60k people capacity 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
 N
Jk park peke yake timu 3 zinaweza kufanya mazoezi pale,azam complex timu 2 zinaweza kufanya mazoezi na hata uhuru timu 2 inaweza kufanya mazoezi,karume pia,so dar peke yake ina uwezo wa kuhost group 2 na timu na 8 zikafanya mazoezi kwenye viwanja tofauti 8 kwa wakati mmoja
Na Bunju pia Mo Simba Arena timu 6 zinaweza kufanya mazoezi.
 
Kwa hali inavyoendelea hawa majirani si wa kutegemea! CCM Kirumba una nafasi ya kutoa uwanja wa 60,000 capacity! Halafu juzi zimetolewa fedha za jengo jipya la abiria Mwanza airport! Na SGR ya Mchina itakuwa tayari!
Hawa nyangau nishawasoma muda mrefu AFCON wanatuangushia mzigo sisi peke yetu hawako serious sana kazi kukalia politiki tuu asubuhi mpaka jioni vitendo hakuna.
 
Back
Top Bottom