Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkapa stadium inakuwaje tena kwenye matengenezo yet it's CAF-approved? Sasa si unaona kupayuka that I was referring to?

Bongolala, hakuna maandilizi yoyote Tanzania ishaanza kufanya. Viwanja zilizopo Arusha na Zanzibar there's nothing going on there as we speak. Lakini wewe uko hapa na kelele zako za "sisi tunafanya maandilizi". Maandilizi yepi? Ama zinafanyika akilini mwako? At least Uganda is doing something na inaonekana kule Nakivubo.

I told you jana kila nchi inafanya maandilizi kivyake. Usishigulike sana na maandilizi ya Kenya coz you ain't doing any preparations at the moment. Kwanza tell us how far you've gone in renovating your stadiums and the accompanying infrastructure kabla kudokeza macho yako mekundu kwetu
Ukiona unaumia kunya boga.
 
Mmeona mpumbavu huyu, kila siku picha zinawekwa hapa marekebisho ya Amani stadium na Mkapa stadium, shida yako unaumizwa sn na maendeleo ya Tanzania.
Hakuna picha yoyote ishaiwekwa hapa ya Amani stadium under renovation. If I am lying prove me wrong. And please, stop misusing the word maendeleo. Secondly, Sina muda kuchukia nchi fukara kama hiyo yenu
 
Hakuna picha yoyote ishaiwekwa hapa ya Amani stadium under renovation. If I am lying prove me wrong. And please, stop misusing the word maendeleo. Secondly, Sina muda kuchukia nchi fukara kama hiyo yenu
Ulidanganywa na nani mama ngima au?🤣

View: https://youtu.be/TEBLASVYIcA?si=bbM5Z1HI3Xp0aQRg




Na render yako hii hapa👇👇🤣🤣🤣
images - 2023-10-07T213419.292.jpeg
 
Kumbe ule uwanja wa znz ni 15,000 capacity, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kumbe ule uwanja wa znz ni 15,000 capacity, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ulitaka uwe na capacity gani mkuu.? 🤣🤣🤣 Ulidhania sisi tutaeka concrete pekee halafu tukisie capacity like you have done to your national stadia.? 🤣🤣🤣🤣
 
Hii michuano tutaandaa pekeetu, tuna viwanja viwili mpaka sasa ambavyo ni approved na tunajenga vingine viwili kule Dodoma na Arusha, viwanja vya mazoezi tunavyo vya kutosha, nyie wanuka njaa na Uganda hamuwezi hii maneno.
CCM wajitahidi kufanya renovation ile CCM kirumba stadium mwanza na pale wakieka budget kama 10b to 15b itatoka kitu ajab vibaya sana kanda ya ziwa kuna mashabiki wengi sana wampira
 
Back
Top Bottom