Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

More of Tanzania Finest Wine.
Our very own The Truck Driver From Manhattan mwaiofhawaii toa order tukuletee mzigo toka kwa your very own The Godfather Bwana Freedom, acha kunywa mataputapu ya huko US😅😅
CCA88F1C-D193-4552-813C-AB54296B1723.jpeg
 

Attachments

  • 8FBF87AD-A00F-4C65-88B5-714DF4FA390E.jpeg
    8FBF87AD-A00F-4C65-88B5-714DF4FA390E.jpeg
    436.8 KB · Views: 1
  • 9637F56E-1E28-4D82-9C77-18AC75C12D36.jpeg
    9637F56E-1E28-4D82-9C77-18AC75C12D36.jpeg
    460.1 KB · Views: 1
  • 28011FD0-772A-4CF9-AFF6-0095073DD836.jpeg
    28011FD0-772A-4CF9-AFF6-0095073DD836.jpeg
    574.8 KB · Views: 1
  • 1040A434-7B60-4DB0-843A-576DA9A32D84.jpeg
    1040A434-7B60-4DB0-843A-576DA9A32D84.jpeg
    490.5 KB · Views: 2
  • 6307B4CF-1710-471C-AC76-3E80483F30C8.jpeg
    6307B4CF-1710-471C-AC76-3E80483F30C8.jpeg
    415.6 KB · Views: 1
  • B2C5B2C8-0E7D-467D-AD1A-3EDC274002C8.jpeg
    B2C5B2C8-0E7D-467D-AD1A-3EDC274002C8.jpeg
    520.3 KB · Views: 1
  • 7AFC0E46-70BB-416A-9E8E-7563F2C93BB2.jpeg
    7AFC0E46-70BB-416A-9E8E-7563F2C93BB2.jpeg
    532.4 KB · Views: 1
  • 4CD02B88-8113-4DF9-AF7D-7392EFC883C0.jpeg
    4CD02B88-8113-4DF9-AF7D-7392EFC883C0.jpeg
    516.4 KB · Views: 1
  • ED780EA8-922E-4C96-93AF-EB940B7DE179.jpeg
    ED780EA8-922E-4C96-93AF-EB940B7DE179.jpeg
    640.3 KB · Views: 1
  • 948FA7E2-9885-4B85-9DED-B7091CAB7819.jpeg
    948FA7E2-9885-4B85-9DED-B7091CAB7819.jpeg
    658.2 KB · Views: 1
  • 6076F3F4-EE97-4FAB-AD5C-9EEE394CA549.jpeg
    6076F3F4-EE97-4FAB-AD5C-9EEE394CA549.jpeg
    617.7 KB · Views: 1
Talanta stadium 60,000
Kasarani stadium 60,000
Nyayo stadium 30,000

Vs
Benjamin makwapa 60,000
Zanzibar stadium 15,000
Arusha/Dodoma 30,000

Jokers🤣🤣🤣🤣
 
Talanta stadium 60,000
Kasarani stadium 60,000
Nyayo stadium 30,000

Vs
Benjamin makwapa 60,000
Zanzibar stadium 15,000
Arusha/Dodoma 30,000

Jokers🤣🤣🤣🤣
Benjamin mkapa 60,000
Zanzibar stadium 15,000
Dodoma stadium 30,000
Arusha stadium 30,000

Ww hapo unajiskiaje 🤣🤣🤣🤣🤣

So far viwanja vilikubalika na FIFA ni viwili east africa do u know them???😅😅😅😅
 
Talanta stadium 60,000
Kasarani stadium 60,000
Nyayo stadium 30,000

Vs
Benjamin makwapa 60,000
Zanzibar stadium 15,000
Arusha/Dodoma 30,000

Jokers🤣🤣🤣🤣
Imebidi nicheke 🤣🤣🤣 iyo capacity ya kasarani 60k umeitoa wapi manzee while watu huko kasarani wanakaa kwenye concrete .? 🤣🤣🤣
 
Benjamin mkapa 60,000
Zanzibar stadium 15,000
Dodoma stadium 30,000
Arusha stadium 30,000

Ww hapo unajiskiaje 🤣🤣🤣🤣🤣

So far viwanja vilikubalika na FIFA ni viwili east africa do u know them???😅😅😅😅
Hivo viwanja vidogo mtaanda cecafa 🤣🤣🤣🤣
 
Reborn Ktb ngoja nikurahisishie kàzi .. hii hapa kasarani stadium . Hiyo 60k capacity umeijuaje.? Au umeakisi tu.? 🤣🤣🤣 Ona vile mnakaa kwenye concrete 👇
moi-kasarani-stadium-wide-view-1-edited.jpg
🤣🤣🤣 ukiskia uwanja una 60k sits this is what we mean 👇
3384806238_8e9c6d9749_b.jpg
dar-es-salaam-benjamin-mkapa-national-stadium-51495.jpg
Egr51YVWoAYpPVr.jpg
sio hako kakiwanja kenu kadunchu kenye watu wanakalia zege halafu mnafanya guess work ati 60k people capacity 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Temeke inahitaji facilities kama hizo kumbuka kuna several exhibitions in a year pale sabasaba pia bandari ipo karibu. Board of external trade walijaribu JPM akawakataza! Tembea duniani uone hotels zipo karibu na viwanja vya michezo na exhibition centers!
Sijakataa wala kukukatalia umuhimu wa uwepo wa hoteli mahala hapo. Hata mbugani huko hoteli bado nyingi sana tena za gharama kubwa zinaitajika - vipi Serikali ijitose nako ijenge Hoteli, right?
 
More of Tanzania Finest Wine.
Our very own The Truck Driver From Manhattan mwaiofhawaii toa order tukuletee mzigo toka kwa your very own The Godfather Bwana Freedom, acha kunywa mataputapu ya huko US😅😅
View attachment 2774940
I can order my Kenyan wine either made in Kenya or the USA… I have a choice … wine za Bongo am not interested..🤣🤣
IMG_1287.jpeg
 
Sijakataa wala kukukatalia umuhimu wa uwepo wa hoteli mahala hapo. Hata mbugani huko hoteli bado nyingi sana tena za gharama kubwa zinaitajika - vipi Serikali ijitose nako ijenge Hoteli, right?
Kwani nani kakuambia serikali za majiji haziruhusiwi kuwa na uwekezaji? Most city hotels around the world ni investments za serikali za town/city municipality! Hawaziendeshi bali wame-partner au kukodisha! Temeke Jiji wanataka kufanya kilichofanywa na Dodoma Jiji, tatizo nn?
 
CCM wajitahidi kufanya renovation ile CCM kirumba stadium mwanza na pale wakieka budget kama 10b to 15b itatoka kitu ajab vibaya sana kanda ya ziwa kuna mashabiki wengi sana wampira
Kwa hali inavyoendelea hawa majirani si wa kutegemea! CCM Kirumba una nafasi ya kutoa uwanja wa 60,000 capacity! Halafu juzi zimetolewa fedha za jengo jipya la abiria Mwanza airport! Na SGR ya Mchina itakuwa tayari!
 
Kwani nani kakuambia serikali za majiji haziruhusiwi kuwa na uwekezaji? Most city hotels around the world ni investments za serikali za town/city municipality! Hawaziendeshi bali wame-partner au kukodisha! Temeke Jiji wanataka kufanya kilichofanywa na Dodoma Jiji, tatizo nn?
huko Temeke kama kulivyo sehemu nyingi nchi kuna changamoto nyingi sana za kijamii kwa municipality kutumia kiàsi kikubwa cha fedha kujenga hoteli. Tungejikita kwanza kwenye vumbi, uchafu, vituo vya Polisi vichafu, vyoo vya shimo, mafuriko, masoko machafu. Tungeelekeza hela nyingi zaidi kwenye huduma za kijamii na kutafuta wawekezaji kwenye miradi ya namna hii.


View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1700506895662850344
 
huko Temeke kama kulivyo sehemu nyingi nchi kuna changamoto nyingi sana za kijamii kwa municipality kutumia kiàsi kikubwa cha fedha kujenga hoteli. Tungejikita kwanza kwenye vumbi, uchafu, vituo vya Polisi vichafu, vyoo vya shimo, mafuriko, masoko machafu. Tungeelekeza hela nyingi zaidi kwenye huduma za jamii na kutafuta wawekezaji kwenye miradi ya namna hii.


View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1700506895662850344

Ujuaji wako unakosa logic always! Ile ni investment ambayo ina nafasi ya kurudisha fedha! Kinondoni wamejenga Bus stand na uwanja wa mpira! Temeke wanajenga hotel! Endelea kupiga kelele!


View: https://youtu.be/e12NQ3HuNJE?si=3K8-oik9Pka7NXB_
 
Back
Top Bottom