Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hali inavyoendelea hawa majirani si wa kutegemea! CCM Kirumba una nafasi ya kutoa uwanja wa 60,000 capacity! Halafu juzi zimetolewa fedha za jengo jipya la abiria Mwanza airport! Na SGR ya Mchina itakuwa tayari!
I like how you guys are acting like you have stadiums. 😂 😂
 
hiyo hotel taget group ni sports persons na traders wanaokuja kwenye sports na exhibition viwanja vya sabasaba (vile viwanja havina maonyesho siku za sabasaba tu) na bandarini! Kule twitter unaandika ujinga sana! Zile hoteli za Magufuli Chato, nani analala sasa?
Kati ya Uwekezaji nilikuwa nausubiri kwa hamu ni ujenzi wa hotel ya kisasa eneo hilo, lile eneo linaenda kuwa very strategic na hakuna kabisa hotel, TANTRADE walitaka kujenga hotel nzuri pale Sabasaba na kuboresha exhibition grounds ziwe na international standard ili kuvutia international exhibition lakini nilishangaa sana JPM aliwakatalia plan yao na walikuwa wameishapata na funding kabisa.

Niliwahi kuwa na wateja wamekuja kwenye maonesho walishangaa sana eneo hilo kukosa hotel nzuri ya kulala, walisema Bongo bado hatujui kuexplore the potentials we have, maonesho yetu ni moja ya maonesho makubwa sana Afrika haiwezi kuwa shaghalabaghala namna hiyo, so finally pale tunapata hotel, hope TANTRADE nao watakuja kivingine na exhibition grounds zao, miundombinu ya BRT mizuri kabisa, pale sasa pageuzwe Centre ya maana ya sports and functions.
 
JPM Disciples hawawezi kukulewa! Jamaa kazuia ujenzi pale halafu akaenda kulazimisha Chato, alikuwa very shallow businesswise na pia controversial!
 
Hivi hii ni 5% ya Kasarani stadium?

img_20231008_085559-jpg.2775102
yes! kwingine mmepiga rangi zege!

F505G81W0AAP0OJ

BTW huu uwanja haufiki 40,000 seats if at all r to be installed!
 
We una macho kweli!?
Kasarani is all seater since 2022
Why don't you zoom in your on pic you posted!?
yes! kwingine mmepiga rangi zege!

F505G81W0AAP0OJ

BTW huu uwanja haufiki 40,000 seats if at all r to be installed!
Screenshot_2023-10-08-11-43-04-94_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Kwa hivo umekubali uwanja ni 60k seater?
Kunyaland haina na haitakaa iwe na uwanja wa 60,000 seats!

Far top right zege linaonekana!
Screenshot_2023-10-08-11-43-04-94_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Mnachoweza fanya pekee!
 
Back
Top Bottom