Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


IMG_1284.jpeg
 
Resembles JKIA greenfield terminal, which I understand
Will resume in January…. View attachment 2774533


kadanganye wapumbavu wa Ukoo wa sadima! Miradi ya barabara imekwama huko ndo mjenge uwanja wa ndege!?
 

Mnatushangaza sana sometimes. Nilifikiri mambo ya ujenzi wa mahoteli waachiwe private sector na hela za miradi ya Kuyunani kama hii ingetumika kuongeza idadi ya mashabiki kwenye uwanja wa Ben Mkapa na kuuboresha zaidi.

Kwanza, kwanini Temeke hakuna hoteli ya nyota 5, walio kwenye biashara ya mahoteli hawakuona hiyo fursa?
 
Back
Top Bottom