Huyu mtoto anamzidi akili nguchiro ichoboy01 🤣🤣🤣This Kenyan girl won African Chess Championships in South Africa. Akili bana akili. Mitanzania huku huwezi ona
View attachment 2768773
Watanzania hawawazi kukujibu huu upuuzi umetaka kujua ila mimi nitakupa tu kidogo utoe tongo tongo. 🤣🤣🤣. CCM wako na majengo ya makao makuu ya chama Chao katika kila mkoa hapa Tz yani 31 regions.. siwezi kuyapost yote I'll share with you some.. then ukiweza kutoka huku ndio tujadili.. kabla niendelee ona kwanza hii their conference center in DOM TzAaah wapi!
Hii nchi inazidi kuwa tamu
My Highway home …..Marua Road, the longest dual carriageway in East Africa just taking shape mosmos
View attachment 2768768
Sijakataa wana ofisi kila mkoa, swali linasalia, mali hiyo yote ukiweka pamoja ni ngapi!?Watanzania hawawazi kukujibu huu upuuzi umetaka kujua ila mimi nitakupa tu kidogo utoe tongo tongo. 🤣🤣🤣. CCM wako na majengo ya makao makuu ya chama Chao katika kila mkoa hapa Tz yani 31 regions.. siwezi kuyapost yote I'll share with you some.. then ukiweza kutoka huku ndio tujadili.. kabla niendelee ona kwanza hii their conference center in DOM Tz View attachment 2768780View attachment 2768781View attachment 2768782View attachment 2768783View attachment 2768784View attachment 2768785.. hizi nazo ni CCM HQ in few regions .. 👇 DAR hqView attachment 2768786View attachment 2768787.. DODOMA HQView attachment 2768788Mwanza HQView attachment 2768790Zanzibar HQView attachment 2768791Tanga HQView attachment 2768792hizi ni kati ya properties chache CCM inamiliki. Siwezi post ofisi za CCM zote za kila mkoa, kila wilaya, kila kata, kila mtaa .. 🤣🤣🤣 we ishia hapo tu .. unaweza hii battle tuendelee.?
Atakupea value na mapesa ya mandafu…🤣🤣🤣Sijakataa wana ofisi kila mkoa, swali linasalia, mali hiyo yote ukiweka pamoja ni ngapi!?
Ndio nangoja 🤣🤣🤣🤣Atakupea value na mapesa ya mandafu…🤣🤣🤣