Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulishawaamhia na kila kitu kipo wazi👇👇
SGR phase one financed by gvt
SGR phase two = gvt + standard ch bank
SGR phase three = gvt + loan
SGR phase four = gvt + loan
SGR phase five financed by gvt
SGR phase six financed by gvt

Hata mkikasirika ukweli hautabadilika hapo sijakwambia kuhusu 3b usd nyerere dam financed by gvt 😅😅😅😅😅

Sijakwambia ndege zote za ATCL zimenunuliwa cash another 3b usd

Sijakwambia magufuli city dodoma pia ita cost another 3b usd

Niendeleee au????😅😅😅😅😅
Wala hata wasikuchoshe wao ambao wana deni kubwa mpaka juu ya paa hawana SGR kwa standard wala urefu tulionao sisi, hata tungekopa SGR yote bado deni letu ni dogo sana ukilinganisha na ukubwa na ubora wa miundombinu tulionayo, waendelee kulia tu.
 
Kuelekea maandalizi ya Afcon Tanzania tayari tumejipanga kwa viwanja vya ndege vya kimataifa katika maeneo yote ambayo michuano hiyo itafanyika.. here are the four international airports in Tz for Afcon 1.JNIA 👇
Screenshot_20230806-175828_1.jpg
IMG_4621.jpg
IMG_4619.jpg
DAR_Covid_1.jpg
IMG_3784.jpg
jnia3_20201019_0120-min buggage claim(0).jpg
p_20190820_191935_48f3f98772d48e0f2fe0263099a5728420b57d8a(0).jpg
22_1b2616a863ebc00e1cd917c808f1dd05e9e6f03f(0).jpg
IMG_3778.jpg
2(5).jpg
. AIA terminal 3 👇
Ei_sXO1XcAAnzGq.jpg
zanzibar5.jpg
Ei_k-G2XYAIKczZ.jpg
Ei_k-GBXkAAKweD.jpg
dnata-zanzibarabeidamanikarumeinternationalairportterminal3(1).jpg
3.kilimanjaro international airport 👇
dscf03794860379946266233978.jpg
JRO-2.jpg
jg0k4bfvmok11.jpg
48588682177_9aa39b7a70_b.jpg
00450883:2781ea1f7a429240f85eb206d6f4203a:arc614x376:w735:us1.jpg
333234_big.jpg
. 4 U/C Msalato international airport 👇
msalato.jpg
tz.jpeg
msalato-1-780x470.jpg
..
View: https://youtu.be/6OAm6G9gRhU?si=CWc8mYDRNO_k0IaF. Coco reborn. Tuonyeshe at least 2 international airports kwenye maeneo yenye mta host AFCON. 🤣🤣🤣
 
Kufuatia maandalizi ya Afcon Tz imehakikisha at least katika kila destination kuna five star hotels Tano hii except DOM ambayo bado ipo under construction. Maenae matatu ambayo kila moja kuna five star hotels mingi at least 5 or above ni
1. Dar es salaam
2. Zanzibar
3. Arusha.

Hao jirani zetu wa north sehemu utakutana na five star hotels zaidi ya moja ni NAIROBI tu 🤣🤣🤣 Coco reborn prove me wrong.. Nicxie The Other Delo
 

Unitag akikujibu nije nikuoneshe sehem gani kuna alama kwenye kishundu chake 😁😁😁
 
Kufuatia maandalizi ya Afcon Tz imehakikisha at least katika kila destination kuna five star hotels Tano hii except DOM ambayo bado ipo under construction. Maenae matatu ambayo kila moja kuna five star hotels mingi at least 5 or above ni
1. Dar es salaam
2. Zanzibar
3. Arusha.

Hao jirani zetu wa north sehemu utakutana na five star hotels zaidi ya moja ni NAIROBI tu 🤣🤣🤣 Coco reborn prove me wrong.. Nicxie The Other Delo
You've seen nothing in Kenya when it comes to hotels.
 
None of the Afcon events has so far returned a profit so it made sense tof spread out the expected loss though we can foresee u will not ready to host the pamoja Afcon 2027!
In which case, you also sailed on Kenya and Uganda's bid. So what's the whole hullabaloo about?
 
Kenya bhn kila kioja kipo huko, jamaa hawapo serious kabisa, wamekuja kutuomba tuwashirikishe kwenye mbio za kuomba kuandaa AFCON lkn mpaka sasa hakuna jitihada zozote wanazofanya kuonesha kuwa nao ni waandaaji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wameanza unafiki huko CAF wao ndio wawe main host wa afcon ikiwa hata uwanja uliokua proved na CAF hawana,hii michuano tulikua na uwezo wa kuandaa pekee basi tu atukuangalia mbali
 
Back
Top Bottom