Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You know you lost when you start arguing about administrative boundaries…. 🤣🤣🤣Mombasa na Kilifi are two different entities with different administrative units….. Maybe you should add Pemba hotels to rescue Ungujaā€¦šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£ā€¦. We are ok with that… they are after all both Zanzibar…..🤣
Sasa kama una ubavu weka hotels zote za Kilifi halafu uone kama utapata hotel hata moja ya maana ya Mombasa šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Mm niliwaambie mukitaka kushindana na znz kusanyeni hoteli za nairobi, mombasa, kisumu na hio kilifi mulete mupambane na znz 😁😁😁😁😁

Znz pekee ina 5 star hotel nyingi kuliko kenya nzima na atakaebisha apande kitandani tu😁
Wakishamaliza za Kilifi zote waambie walete sasa za Mombasa uone mtafutano šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 

How do they buy electric bus wakat wao wanadai kua wana assemble electric bus hvi unaelewa kwanza hapo šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…

La pili hio BRT system iko wapi kenya atokee mkenya mmoja anioneshe barabara za BRT kenya mm niwaoneshe jogoo akitaga 😁😁😁

Kuna harufu ya upigaji pesa hapo na soon utaskia kimenuka
 
the ugly uswazi hovels as usual....a country with no middle class
Between tanzania and kenya wapi hakuna middle income 😁😁😁

Hvi ww unajua kenya ndio nchi africa inaongoza kwa gap between rich and poor
Au nikuletee ushahidi sasa hvi

Middle income wenu si ni wale wanaoweza ku rent bedsitter au two bed rooms au sio hao??
 
1695976607312.jpg
 
Back
Top Bottom