chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
The other day walikuwa wanashangaa na kuuliza ni kwa nini wakenya wanaandamana. What they don't realize is that Kenyans have high expectations from the government and they hold it accountable every step of the way.Nimefungua link nikapenda comments za Watanzania wanaojielewa. 😂 😂 😂
View attachment 2765432View attachment 2765433View attachment 2765434View attachment 2765435View attachment 2765436
Kila siku mimi husema humu, tofauti kubwa ya Tazania na Kenya ni expectation ya wananchi. Wakenya wana expectation kubwa mno from the government. Watanzania expectations zao zinakaribia zero ndio maana wengi wao wametosheka na serikali ila wanaumia saana. 😂😂
cc Geza Ulole
NDINDA
Chamoto
game over
That's almost two flights per day to Heathrow. Alafu Kuna bongolala fulani somewhere who still thinks their ATCL is overtaking KQ. Ndoto zingine mtu anafaa kuamshwa tub na viboko!😄
Hamna ndege za kisasa, hamna Max wala A220, wala cargo plane mna midege ya kizamani tupu, ona sisi haooo 🤣🤣👇👇👇
Hamna ndege za kisasa, hamna Max, hamna A220, wala cargo plane, sisi shirika letu lilikufa tumelifufua juzi tu hapa na tayari linafanya vizuri kuliko lenu, safari zote tutaenda but iwe viable na sio kupeleka ndege kokote ilimradi tu kama mnavyofanya nyie mwishowe mnaenda na abiria 10 zen loss year in year out.Alafu madwanzi hapa wanalinganisha KQ na hilo shirika lao linalopiga safari za daladala
Issue sio high expectations issue ni ugumu wa maisha, kama mngelikuwa mnaishi kama sisi yani chakula kipo, kazi za kutosha zipo, amani ipo, less favouritism, no tribalism, unadhani mngeandamana? Mtu hujala siku mbili, umesoma lkn upo mtaani mwaka wa 10, alafu unasikia mtoto wa Ruto kamfanyia birthday mbwa wake iliyo gharimu milioni 100 unadhani utaacha kuandamana?The other day walikuwa wanashangaa na kuuliza ni kwa nini wakenya wanaandamana. What they don't realize is that Kenyans have high expectations from the government and they hold it accountable every step of the way.
Everytime Kenyans feel that the government is not doing enough, they express their displeasure. This is in sharp contrast to our neighbors who feel contented even when things are going south. Sijui ni uwoga ama ni hii serikali yao kandamizi
Maandamano hata FRANCE na USA ziko....but not in North Korea....food for thoughtIssue sio high expectations issue ni ugumu wa maisha, kama mngelikuwa mnaishi kama sisi yani chakula kipo, kazi za kutosha zipo, amani ipo, less favouritism, no tribalism, unadhani mngeandamana? Mtu hujala siku mbili, umesoma lkn upo mtaani mwaka wa 10, alafu unasikia mtoto wa Ruto kamfanyia birthday mbwa wake iliyo gharimu milioni 100 unadhani utaacha kuandamana?
Sawa house negro wa HitlerUmeongea kichungu na kiroho mbaya kwa kitu usichokijua,how brt inaleta jam kwa barabara zinigine!
Yani stima zimesumbua siku chache kwa mji mmoja tena mji mdogo huku kuna maandamano, kwao mwaka mzima nchi nzima including the capital and the largest city stima zinasumbua hakuna maandamano na bado anainsist ni ugumu wa maisha. The delusion is real. 😂Maandamano hata FRANCE na USA ziko....but not in North Korea....food for thought
Najua ziko nyingi but bado aziwezi kufikia zilizoko zanzibarUliambiwa Diani kuna hoteli moja?
Znz tushamalizana nayo na kilifi, leta sehemu nyingine ipambane na diani.Najua ziko nyingi but bado aziwezi kufikia zilizoko zanzibar
Hivi KQ bado ako na nguvu pamoja na madeni na hasara inapata kila kukicha 🤔🤔Give me any article mentioning ATCL has a competitive edge over KQ. Usiwe unatumia hisia kwenye hizi michango, utaonekana mjinga.
KQ was mentioned the leading airline in Africa in 2022 for the second consecutive year, beating the likes of Ethipian Airlines and the rest
![]()
Pride of Africa: KQ clinches Africa's leading airline award 2022
Kenya Airways bagged four prestigious awards in the World Travel Awards 2022, including the African leading Airline award reaffirming the carrier's status.www.tuko.co.ke
Sasa hicho shirika lenu kilichobakisha safari za ndani kusafirisha korosho iko na nini ya kujivunia mbele ya KQ?
ugly uswazi hovels behind this hotel...jeez,,,,,,Zanzibar hotel View attachment 2765609.. Coco reborn.
JKIA imeipita zanzibar kwa airlines 6 tu, unapata wapi ujasiri wa kushindanisha Kilifi na Zanzibar? 😢Znz tushamalizana nayo na kilifi, leta sehemu nyingine ipambane na diani.
Mwezi wa pili mtaona wakandarasi,stay tuned mwisho wa mwezi huko NesT Tenda zinaenda kutangazwa za ma stand na masokoEneo utakapojengwa uwanja wa Dodoma, nanenane..
View attachment 2766192
Infrastructure Checklist: Dodoma
- Uwanja wa mpira U/C
- Uwanja wa ndege (international) U/C
- Bus terminal ✅
Infrastructure Checklist: Arusha
Infrastructure Checklist: Dar es Salaam
- Uwanja wa mpira U/C
- Uwanja wa ndege U/C, KIA upo karibu pia
- Bus termnal (hapa soon itasikia watajenga, lbd mim sina taarifa)
- Uwanja wa mpira ✅
- Uwanja wa ndege (international)✅
- Bus terminal ✅
li kama hoteli kama za marangu