Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa Port hoi Chalii Cha Mende 😂😂😂😂😂

View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1707323007713321074?t=8-9UOpn4Jbfk0jwRmWCr_w&s=19

Dar Port inawanyorosha na Bado
Screenshot_20230928-122537.jpg
 
Hata ujenzi wa hizi nyumba mnauiga Tanzania, ninyi ujenzi wenu ni huu ambao tofali zinaachwa hovyo, madirisha madogo au hamna kabisa na nyumba na roofing ni fupi kama akili zenu
View attachment 2764672

View attachment 2764671

Hamna kitu wewe Mpumbavu, hamna mazingira kama hayo Kunyaland hiyo miti wala hiyo architecture haipo Kunyaland wala those buildings materials and equipments hata morphology ya hao watu doesn't look like you idiots
Mbona mnasumbuka mibongolalala?

This one is in deep in Meru county Villages. Owned by Peter Murira
250b79cd83d6d2d9.jpg


Somewhere in a village in Seme, Kisumu County
images (94).jpeg
images (93).jpeg


Somewhere along the shores of Lake Victoria
a_photo_of_a_home_with_a_swimming_pool_and_a_helicopter_packed_on_the_lawn.jpg


Siaya
a_photo_of_a_flatroof_house_in_siaya_county.jpg
a_collage_of_two_mansions_located_in_kenya_.jpg


A village in Nyatike, Migori County
images (95).jpeg

images (96)_1.jpeg


Somewhere in Rakwaro, Migori County
images (98).jpeg


Rapogi village, still in Migori County
images (97).jpeg


Somewhere in Kisumu
tLBeKnB2kLyFvzn3Ok7D1eQ3SZr12a2hULmWMu6v.jpg


Another's one, still in Nyanza
images - 2023-09-28T130614.659.jpeg
 
Eti watu waache kuweka fainali Dar kwenye mvuto wa soka wapeleke Nairobi, kwanza mpaka kufika 2027 our mighty SGR itakuwa inafanya kazi na BRT phase karibu zote zitakuwa tayari, viwanja vyote vitakuwa tayari, haya apo kuna nn tena, miundombinu yote muhimu na ambayo haikuwepo kwenye nchi nyingi tu zilizowahi kuandaa AFCON itakuwa ishakamilika.

Jamaa huenda wakalilia fainali ipelekwe kwao kisa wana expressway 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hii fainali ndiyo itatupa jibu nani ni The best hapa EA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nafurahi hii haya mashindano yatatukuta tuko vizuri sana kimiundombinu, viwanja vya ndege standards, SGR, mabarabara n.k. Watu watakuja toka kila kona ya Afrika na dunia kuangalia soccer na kushangaa mambo mengine mengi tu. Na ndipo hapo dunia itaijua Tanzania vilivyo. Yajayo yanafurahisha.
 
Nafurahi hii haya mashindano yatatukuta tuko vizuri sana kimiundombinu, viwanja vya ndege standards, SGR, mabarabara n.k. Watu watakuja toka kila kona ya Afrika na dunia kuangalia soccer na kushangaa mambo mengine mengi tu. Na ndipo hapo dunia itaijua Tanzania vilivyo. Yajayo yanafurahisha.
Barabara gani mko nazo? Ama unamaanisha hizo brt that snake their way through uswazi hovels?😂😂
 
Kama Kijiji Cha Eldoret ni City basi Municipal Towns zote za Tanzania zile elevated to City Status.

Hichi Kijiji hata Iringa imekishinda achilia mbali Morogoro na zote sio Cities.
View attachment 2764806
Last time I checked, there's a village in Tanzania called Mbeya being referred to as a city. A "city" that saw its first lift in 2014 when Eldoret already had a 27-floor building
images - 2023-09-28T133721.882.jpeg
images - 2023-09-28T133703.892.jpeg
images - 2023-09-28T133906.979.jpeg
images - 2023-09-28T133721.882.jpeg
images - 2023-09-28T133703.892.jpeg
images - 2023-09-28T133630.246.jpeg
 
Marazote walizoomba kuandaa walishia mitini wizara ya michezo Tz ijiandae vya kutosha maake shakahola huwa ni wababaishaji sana
Huna akili, tunaongelea AFCON ya 2027 itakuwa mwaka wenu wa uchaguzi, je kwa uchumi huo wa hovyo mtakuwa na uwezo wa ku fund uchaguzi na huku mkijenga viwanja? Ikiwa hiki kilichopo cha tangu uhuru wa nchi hata kukikarabati mmeshindwa .

Pia, msisahau kwamba uchaguzi ujao Ruto atatakiwa kutumia pesa nyingi sana ili kuwalaghai nyie vichwa panzi mumchague tena.

Kiukweli kabisa sioni nafasi ya nyie ku host hata mechi moja ya CAF.
 
Back
Top Bottom