ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,478
- 88,598
Hadi jarida la Wakunya limemripoti Kijana wa Kitanzania.
Wakunya wanajiuliza imekuaje Kiaje 🤣😁
Wakunya wanajiuliza imekuaje Kiaje 🤣😁
Ujenzi wa viwanja mbalimbali vya michezo Dodoma mkandarasi yupo site.Uchumi halisi wa Tanzania ni $150b. Iyumbu satellite centre before and after.
Before.
View attachment 2758244
After.
View attachment 2758246
Dawa yao kuwatembezea spana kama unazowatembezea hadi wanakimbia humu 😀Hawa tunavyowachekea chekea humu kuwaliwaza kutokana na shida na umaskini walio nao basi wanadhani sisi ni saizi yao, au wanavyoona vi figure vya GDP za mchongo wanazoziandaa vyumbani mwao basi wanafikiri wapo sawa na sisi. Dawa yao ni kuwaonesha uhalisia maamaee zao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Walishaanza kutuletea mazoea, wameona tunapost vitu vya size yao wakadhani wanatuweza, tumeongeza dozi kdg wamekimbia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dawa yao kuwatembezea spana kama unazowatembezea hadi wanakimbia humu 😀
Mkuu kama unapicha weka tuyarushe roho makenya 🤣🤣🤣🤣🤣Ujenzi wa viwanja mbalimbali vya michezo Dodoma mkandarasi yupo site.
Siku hizi hadi tulishaacha kuhesabu, inachosha, kila meli inavunja record ya nyenzake.Yani magari yamejaa na bado meli inashusha magari tu 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2758547