NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,009
- 19,181
Wao wanaongelea planning of 48km wakati sisi tunamaliza 152km dual carriageway.🤣
Nairobi - Marua Road
Nairobi - Marua Road
Hujielewi. Barabara Ni Nairobi - Marua. 84km Ni Kenol - Marua ambayo imekuwa upgraded to dual carriageway juzi. Nairobi - Kenol is already dualed. Meza wembe. Alafu kila siku unajichocha humu wewe Ni engineer na unaijua Kenya yet hakuna kitu unaelewa.🤣74% ya 152 km si 84 km inayoonyeshwa kwenye clip! Mkundustan wacha upumbavu!
Nairobi Marua road, 152km ndio hiyo. Wewe tuonyeshe Tunduma road.🤣🤣🤣
View: https://youtu.be/bX7dHNrxY0U?si=8MHiEtD6tlSBxK0l
Hao wote ni Watanzania ubaguzi bakiza kwenu kati ya kikuyu na jaluo.Kenya hukuna tajiri anaeshikilia sector nyingi ndio maana huwezi kuwaskia. Ila bongoland waarabu wame wakamata
🔨🔨🔨🔨Hujielewi. Barabara Ni Nairobi - Marua. 84km Ni Kenol - Marua ambayo imekuwa upgraded to dual carriageway juzi. Nairobi - Kenol is already dualed. Meza wembe. Alafu kila siku unajichocha humu wewe Ni engineer na unaijua Kenya yet hakuna kitu unaelewa.🤣
Ikija kwetu mnasema wazungu, kwenu mnataka kujifanya eti ni Watanzania. Kama hamna ubaguzi mbona Wasukuma wasiwe matajiri kama Hao Wahindi Na Waarabu? Alafu waarabu wenyewe hata hawafiki elfu 100 yet wameshikilia kila sector ya uchumi.🤣🤣Hao wote ni Watanzania ubaguzi bakiza kwenu kati ya kikuyu na jaluo.
Unauliza 🤣🤣 120km unadhani ni hizo street roads za huko Nairobi?Hii no KM ngapi?🤣
We boya kwani huoni kwamba wako kwenye mobilisation?Wapi dual carriageway hapo wee msenge?🤣🤣
Umesema mwenyewe hutaki plans, mbona Sasa unatuletea plans?
Hata hayo mapato ya Equity sio Equity bank bali ni Equity Group ambayo ina other businesses apart from banking.In individuality NMB ni most profitable sababu NMB ipo Tanzania tu wakati hizo banks za Kenya zimekusanya matawi yao yote mpaka nje ya Kenya lakini bado the difference ni ndogo sana, zikisimama na domestic operations NMB inakua number 1
Unauliza 🤣🤣 120km unadhani ni hizo street roads za huko Nairobi?
We boya kwani huoni kwamba wako kwenye mobilisation?
View: https://youtube.com/watch?v=zxtod_8gjk4&si=tnXv41DYc9whhXQA
Ngoja nikupe na Nyingine
Hii imeshaanza inaitwa Uyole-Songwe Airport km 35,leta mapovu mengine 🤣🤣
View: https://youtube.com/watch?v=YoPilJ8ykpQ&si=n3gPIx13rrdA0jMx
Sasa mtaanza kugawanyisha Equity ndio muwe mbele? Yani mnafurahisha.🤣Hata hayo mapato ya Equity sio Equity bank bali ni Equity Group ambayo ina other businesses apart from banking.
Nimeona niwasaidie Wakenya kuwaletea ushindi huu mkubwa.
View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1701133648492122406?s=20
Barabara nyingine Hadi mpakani mwa Malawi,tutakuwa na Barabara 3 zinazofika mpakani mwa Tanzania na Malawi
View: https://twitter.com/GillyBonnyTv/status/1690750561698578432?t=DdvHP7zP1JsC4No9IZiBKQ&s=19