Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbezi
Screenshot_2023-09-10-08-14-38-75_4937eb900e197f95da98f502ddfb10e1.jpg

Komarock Nairobi
Screenshot_2023-09-10-08-23-55-57_4937eb900e197f95da98f502ddfb10e1.jpg
 
Kenya hukuna tajiri anaeshikilia sector nyingi ndio maana huwezi kuwaskia. Ila bongoland waarabu wame wakamata
Kenyatta anashikilia nchi nzima yani kenyatta serekali ya kwake ardhi nyingi sana zakwake, makampuni makubwa yakwake, misitu yakwake na nyinyi punda muliomo ndani niwa kwake pia 😅😅😅😅😅

Familia moja inamiliki ardhi ya kutosha 30million kenyans si niwendawazimu huu

Screenshots_2023-09-11-08-14-42.png




View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1616059659105738753?t=IS8NND3QPvPSbLf1a2x6Qg&s=19
 
In individuality NMB ni most profitable sababu NMB ipo Tanzania tu wakati hizo banks za Kenya zimekusanya matawi yao yote mpaka nje ya Kenya lakini bado the difference ni ndogo sana, zikisimama na domestic operations NMB inakua number 1
Na bank ambayo ni tishio kubwa sana kwao ni CRDB subiri miaia miwili ijayo alaf utaona itakavowafanya humu ndani 😅😅😅😅
 
Nimegundua vitu vingi hawa Wakundustan wanadhani wapo mbele sana vinapungua na vingine kupitwa vibaya
Imagine anaongelea SGR - TZ inajenga Longest SGR in Africa at the moment.
Dry port? Tuna KWALA 😎.
Airport ?😂😂😂
Nadhani imebaki tu office za UN, hata Bongo ipo Moja
View attachment 2745595
Wengi wao hawana exposure alaf pia ni watu waliokaririshwa sana kua wao wako mbele sana kuliko africa, yani hio kitu iko kichwani mwao miaka na miaka sasa wamedumazwa na wanasiasa wao ili wasifungue macho kuangalia africa wao wafungue macho kuangalia europe😅😅

Sasa leo wanashtukizwa na maendeleo ya africa na kila wakiangalia nchi yao ilivo ambayo wao walidhani ni level za norway au finland ndio wanabaki kua na hasira kali sana yani wanahisi kama wamerudi nyuma miaka 30 na ni kweli wamerudi nyuma yote kwasababu ya kudanganywa na sifa za uongo ambazo dunia ya leo inawaumbua 😁
 
Soma content uelewe sio kukurupuka naona Unashangaa hiyo picha.
Wewe mwenyewe hujasoma content unaniambia nisome content. Tweet inasema 48.9 dual carriageway wee unasema longest in East Africa wakati sahii Kenya kuna 152km continuous dual carriageway Nairobi to Marua.

Screenshot_20230911_091111_com.twitter.android.jpg
 
Wewe mwenyewe hujasoma content unaniambia nisome content. Tweet inasema 48.9 dual carriageway wee unasema longest in East Africa wakati sahii Kenya kuna 152km continuous dual carriageway Nairobi to Marua.

View attachment 2745614
Kiswahili ni tatizo kubwa sana Kwa Wakunya,let me put in another way ndio uelewe.

Hii hapa ndio itakuwa the Longest dual carriage Highway in East and Central Africa,only in Tanzania

View: https://youtube.com/watch?v=1bV5XC-yOH4&si=VzSknarHY1x3Vr_x
 
Back
Top Bottom