Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umepost link, nikatumia hiyo link kukutoa ujinga, unageuza goli unaleta link nyingine.🤣🤣

Halafu tunaenda Na facts. Hivi between 48.9km na 152km Gani kubwa? Ama hesabu Ni balaa pia?🤣
Punguza upumbavu basi,wewe ndio hukuelewa Kiswahili ndio maana nakusaidia Kwa video maana Barabara inayozungumxiwa kwenye link ndio hii hapa.
 
Mbona unaweweseka (Ama mnatumianga neno Gani🤣🤣?). Umeongelea dualing of Tunduma road. Kutoka na link zako mwenyewe, barabara ni 48.9km Na nimekuelezea hapa Kenya kuna barabara kibao zenye urefu Zaidi ya hiyo ikiwemo ya 152km. Shida iko wapi? Ni nini cha kutoelewa hapo? 🤣🤣
 
That's Tunduma Highway AND NOT road! Pia kuna dualing of Dodoma Ring road and Kibaha-Chalinze Highway
 
Whatever you call it geuza. It's still won't be the longest dual carriageway in East Africa. It won't even be top 5 considering Kenya already has 3 roads of over 50km connecting to Nairobi and planning to dual Nairobi to Mombasa (480km) and Nairobi to Mau summit (220km). Hizo ma 40km zebu ni uji baridi kwetu.🤣
 
Nairobi-Mombasa Highway, sponsor Bechtel aliutupilia mbali huo Mradi!

Mbona unaweweseka (Ama mnatumianga neno Gani🤣🤣?). Umeongelea dualing of Tunduma road. Kutoka na link zako mwenyewe, barabara ni 48.9km Na nimekuelezea hapa Kenya kuna barabara kibao zenye urefu Zaidi ya hiyo ikiwemo ya 152km. Shida iko wapi? Ni nini cha kutoelewa hapo? 🤣🤣
Unavuta bangi wewe au ni maumivu ya wivu na chuki 🤣🤣

Inayozungumziwa kwenye video ni Nakuru Highway sio Tunduma au?

Sasa Kwa taarifa Yako tuu ,hiyo Tanzam road kuanzia Dar-Mbeya-Tunduma km 930 yote itafanyiwa dualling by 2030.

Tenda ya PPP(Expressway) six lanes kati ya Kibaha -Chalinze km 100 Iko kwenye evaluation na baadae mwaka huu ujenzi unaanza Kwa hiyo chukia zaidi basi.
 
Whatever you call it geuza. It's still won't be the longest dual carriageway in East Africa. It won't even be top 5 considering Kenya already has 3 roads of over 50km connecting to Nairobi and planning to dual Nairobi to Mombasa (480km) and Nairobi to Mau summit (220km). Hizo ma 40km zebu ni uji baridi kwetu.🤣
Km 218 sio longest? Onyesheni ya kwenu ambayo imeanza utekelezwaji badala ya porojo za planning.

Kama ni planning tuu,the whole highway from Dar all the way to Tunduma border 930 km iko kwenye plan ya kuwa dual raodfl.

Morogoro -Dom planning
Arusha-Moshi-Holili planning
Mwanza-Shinyanga planning
Mwanza-Musoma-Tarime-Sirali Border planning
Njombe-Makambako planning
50km of Dom in all directions iko planning

Dom Ring Road 120km dual carriage way is under construction
 
There are plans to revive it. Na hata if doesn't happen, we still have longer dual carriageways than you. Mtaongea Ile siku mtajenga over 100km of dual carriageway.
 
Km 218 sio longest? Onyesheni ya kwenu ambayo imeanza utekelezwaji badala ya porojo za planning.

Kama ni planning tuu,the whole highway from Dar all the way to Tunduma border 930 km iko kwenye plan ya kuwa dual raodfl.

Morogoro -Dom planning
Arusha-Moshi-Holili planning
Mwanza-Shinyanga planning
Mwanza-Musoma-Tarime-Sirali Border planning
Njombe-Makambako planning
50km of Dom in all directions iko planning

Dom Ring Road 120km dual carriage way is under construction
mwambie Zanzibar wana some serious projects za Highways za flyovers pia!
 
Km 218 sio longest? Onyesheni ya kwenu ambayo imeanza utekelezwaji badala ya porojo za planning.

Kama ni planning tuu,the whole highway from Dar all the way to Tunduma border 930 km iko kwenye plan ya kuwa dual raodfl.

Morogoro -Dom planning
Arusha-Moshi-Holili planning
Mwanza-Shinyanga planning
Mwanza-Musoma-Tarime-Sirali Border planning
Njombe-Makambako planning
50km of Dom in all directions iko planning

Dom Ring Road 120km dual carriage way is under construction
Hivi wewe nini huelewi? Only 48.9 of the 218 itakuwa dual carriageway....and that's kama itajengwa maanake ni kitu mmekua mkiongelea since 2015 huko.🤣
Soma link yako uelewe.

Screenshot_20230911_091111_com.twitter.android.jpg
 
Km 218 sio longest? Onyesheni ya kwenu ambayo imeanza utekelezwaji badala ya porojo za planning.

Kama ni planning tuu,the whole highway from Dar all the way to Tunduma border 930 km iko kwenye plan ya kuwa dual raodfl.

Morogoro -Dom planning
Arusha-Moshi-Holili planning
Mwanza-Shinyanga planning
Mwanza-Musoma-Tarime-Sirali Border planning
Njombe-Makambako planning
50km of Dom in all directions iko planning

Dom Ring Road 120km dual carriage way is under construction
Na akikuonesha ujenzi ww fanya kunitag tu😅😅
Ntakuonesha kitu hapendi ww uone
 
Km 218 sio longest? Onyesheni ya kwenu ambayo imeanza utekelezwaji badala ya porojo za planning.

Kama ni planning tuu,the whole highway from Dar all the way to Tunduma border 930 km iko kwenye plan ya kuwa dual raodfl.

Morogoro -Dom planning
Arusha-Moshi-Holili planning
Mwanza-Shinyanga planning
Mwanza-Musoma-Tarime-Sirali Border planning
Njombe-Makambako planning
50km of Dom in all directions iko planning

Dom Ring Road 120km dual carriage way is under construction

Nairobi Marua road, 152km ndio hiyo. Wewe tuonyeshe Tunduma road.🤣🤣🤣

View: https://youtu.be/bX7dHNrxY0U?si=8MHiEtD6tlSBxK0l
 
Back
Top Bottom